Maswali ambalo huwa najiuliza sana.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maswali ambalo huwa najiuliza sana..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by adakiss23, Sep 21, 2012.

 1. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,346
  Likes Received: 655
  Trophy Points: 280
  Je naweza kupata m'ke mwenye sifa zote za mama?? Ambaye anaweza kuwa kama mama yangu?? Je anaweza kulinda kutetea kutunza kulea watoto wangu kama nilivyolelewa mimi?? Hii inatokana na aina ya wasichana wengi wa karne hii.


  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 2. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Utapata tu mkuu kuwa na moyo wa subira.
   
 3. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Mke/Msichana na mama ni vitu tofauti.. kuwa mama ni stage baada ya usichana hata ivyo mama yako pia alikua msichana labda kama utuambie usichana wake ulikuaje..
   
 4. s

  souvenir Senior Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 24, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hata mimi huwa naiuliza kama kuna mwanaume mwenye sifa zote karne hii
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  kama unashinda na punda utapataje farasi??
  Unatafuta gari kwenye kabati la nguo?

  Nawasalimu tu
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  mama yako enzi zake za foolish age ulikuwepo?
   
 7. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Ombi la Kaunga likikubaliwa anzisha sub forum yako nitakuunga mkono!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  mimi love this,mimi ningekuwa na mtoto wa kiume si sa hizi angesema dah!mi sioi mke mpaka awe kama mamangu ,hajui tu kuwa enzi zangu nilikuwa dah!full mavurugu,na kesi kibao home!lakini watu tunakua jamani! The Boss wambieni watoto wenu wa kiume wawatengeneze wake zao kwa vile inavowapendeza wao na si kwa machaguo ya nyie baba zao!watakesha sana wakifua nguo dry cleaner na kula take aways!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...