Nimempita GF wangu tofauti ya zaidi ya miaka 17 JE HAPO HAKUNA TATIZO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimempita GF wangu tofauti ya zaidi ya miaka 17 JE HAPO HAKUNA TATIZO

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kupe, Sep 20, 2012.

 1. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,024
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ndugu wadau naomba ushauri. Mimi ni muajiriwa na nina kazi nzuri tu .umri wangu ni miaka 37 elimu yangu ni ya chuo kikuu nina degree 2 (masters) . Kutokana na sababu binafsi nimechelewa kuoa na sijafikilia kwa hivi karibuni. Na tabia yangu ilikuwa ni kupenda starehe . Ila nimekuja kustuka sasa umri umeenda na sina mke wala mtoto . Wanaume wa age yangu wote wana familia. Wanawake wameshaolewa. hivi karibuni nimepata gf mwenye umri wa miaka 19. Yuko chuo first year chuo . Nimempenda naye amenipenda. Na nimemtoa bikira na natamani kudumu naye na yeye pia anataka hivyo yaani tuje tuoane.. nikifikiria naona kama umri ni tatizo. Lakini mimi nina umbo zuri na dogo kwa muonekano naonekana kama nina miaka 27 au 28. WADAU NAOMBENI USHAURI JE HILI HALITANISUMBUA KWANI HUYU MWANAMKE NILIMDANGANYA UMRI WANGU PIA YEYE ANAJUA TUMEPISHANA MIAKA 7 . LAKINI NI 17
   
 2. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Sasa na elimu yako yote hujui kanuni za maisha? Kulikuwa na sababu gani ya wewe kumdanganya umri? Kitendo chochote cha kidanganya katika mapenzi huwa hakikubaliki na niusaliti' sidhani kama yeye alikuwa na shida na umri wako' mwambie ukweli wa umri wako'

  Ntakwambia kitu mimi na mke wangu mtarajiwa tuna tofauti ya miaka 13 tena kwanza yeye my future alikuwa anajua ninamzidi miaka 18 baadae nikamwambia umri wangu'hakuwa na tabu kwa sababu yeye hakuwa na shida na umri wangu bali alikuwa anashida mwanaume sahihi wa maisha yake'jifunze kusema ukweli hakuna tatizo kwa hilo
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  mbona mi wangu nimemzidi miaka 10
   
 4. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,500
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kwa elimu ya masters unauliza swali kam hilo basi elimu yako ni makorokocho
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,914
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Kuna details nyingine mdau ameziorozesha naona kama hazikuwa na umuhimu wa kuzisema.
  Mfano 'nimemtoa bikra', 'nina degree mbili'.
  Anyway, age is nothing but is just a number. Gape la miaka 17 ni la kawaida sana katika mapenzi na ndoa kwa ujumla.
   
 6. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  Kwanini usitafute mzee mwenzako??ujana wako umemaliza na nani???
   
 7. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,024
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mwanzo nilijua ningepiga na kusepa . Lakini nikaja kuona nimeganda na yeye kafika. Kinachoniogopesha sasa ni kuwa nitazeeka kabla yake ndio kitu nachohofia
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,020
  Likes Received: 5,191
  Trophy Points: 280
  haina tatizo.
  Mwambie tu binti umri wako.
  Umri ni namba tu!
  Mradi uwe serious na huyo binti!
   
 9. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,911
  Trophy Points: 280
  Kaka shkamoo...

  Hapo kwa age diference ya 17yrs naona tatizo lipo....huyo mboni ni kama mwanao wa kike?..au hilo hata wewe hulioni?...tafuta mwenzio bana atleast age difference isifike double digits...yani iwe kwenye 9 kwenda chini .

  Duuh mie mpaka naogopa...hivi huoni hata aibu kuvua nguo kisha unakatiza chumbani bo@#$ro linaninginia na ke@#$nde zako kisha kabinti kanakuangalia??

  Hako ukikaoa then miaka mitano ijayo unaanza kuzinguliwa na sugar kenyewe ndio dam full kuchemka..utagongewaje na vijana wa bonge-fleva...aibuu. Mtafute mkubwa mwenzio kama huweza sema tukusaidie kutafuta waliojichokea na midume wanataka kutulia waolewe walee familia.

  Ulisema una deg 2??..yani masters?...hukuchukulia hata russia ingekusaidia ungerudi na bibi wako wa kizungu uwe umetupiga bao sie tulio-owa waswahili...
   
 10. Root

  Root JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 22,643
  Likes Received: 8,197
  Trophy Points: 280
  binti anafahamu.ni.miaka saba kumbe kuna kumi duh kwa kweli.ongea nae
   
 11. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #11
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 4,147
  Likes Received: 12,420
  Trophy Points: 280
  Sioni kama ni tatizo, kwani hizo degree zako mbili una hakika zinaendana na umri wako?
   
 12. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #12
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,020
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  impact itaanza baada ya muda mfupi ukishaanza kuchoka mtoto anaitaji dozi,ndipo hapo utakapopigiwa mkuu
   
 13. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #13
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,642
  Likes Received: 859
  Trophy Points: 280
  Mmh...ukijakumwambia ukweli juu ya miaka yako,kama ni mtu sensitive then ujue utatoswa ila kama ni understandin na ukamueleza cha kueleweka juu ya udanganyifu huo usio na msingi then atakuelewa....ila ujue utakuwa umepunguza percentage ya uaminifu juu yako. # Kitu kidogo chaweza kukucost sana kaka!
   
 14. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #14
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,587
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hakuna mbaya kaka, mwambie ukweli uone kama atatimua. Ila sasa fanya fasta uoe vinginevyo mtazaa wajukuu.
   
 15. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #15
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,836
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Huyo anataka kukuchuna umlee vizuri akiwa chuo akimaliza tu chuo huyo si wako
   
 16. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #16
  Sep 20, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,545
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Unless mmpendana kwelikweli................sioni kama kuna future hapo. She is simply too young achilia mbali age difference, kuna mambo anatakiwa hayapitie hadi awe mwanamke aliyekamilika ku settle down. Cha kufanya ni kumueleza ukweli huku wewe mwenyewe uki weigh uamuzi wako wa kukilalia kikinda kwa faida ya future family yako na kwa faida yako mwenyewe
   
 17. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #17
  Sep 20, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,586
  Likes Received: 767
  Trophy Points: 280
  Kweli huyo ni girliefriend wako. Mbona wadada wenye late 20 na early 30s wapo wengi!

  By the time she is in 20s u r in midlife crisis nisikilizie mziki wake!
   
 18. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #18
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,907
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Kaka ushauri hapo ni kujaribu kuchagua mtu ambae umri kidogo unaendana sasa
  hapo kwenye gap ya umri itakukost huko mbele na itakua shida kwako
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,616
  Likes Received: 21,241
  Trophy Points: 280
  Wabongo hata midlife crisis hawajui ni kitu gani
   
 20. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #20
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  mtu ambaye una malengo nae huwez kumdanganya,,,,maana ipo siku au upo wakat ATAGUNDUA TU,JAMBO AMBALO HUENDA LIKAUYUMBISHA HUO UHUSIANO
   
Loading...