Wake wawili keli inawezekana

buchenza

Senior Member
Aug 24, 2012
190
66
Wana JF naomba kuwasilisha mada yangu leo ili tuijadili kwa kina labda tunaweza kupata ufumbuzi tahdhari mada yangu haijalenga din. ni kwamba mtu unakuta ana wake wawili anashi nao kila mke anakwake, amewapangia zamu za kuishi nao kila wiki mbilim kwa mwezi ,sasa wana JF nifahamishe kweli mwanaume anawamudu katika tendo la ndoa kweli ,nadhani labda wanwake walioko kwenye ndoa kama hizi watweza kutujulisha vizuri .maana siku hizi hata mmoja shughuli je wawili mpaka watatu inakuwaje
 
Kwanza weka vzr heading yako na isomeke kweli na sio keli,alafu nyie vijana wa siku hizi mnashangaza sana.Hii ni sawa na wale wanaodai hawako tayari kuoa wakisingizia garama ilhali wana mibinti wanayoihudumia kwa garama kubwa tu kuliko ata wale waliooa.vivo hivyo ktk hili suala lako,unajua binadamu hasa mwanaume kaumbwa na matamanio ambayo yanamfanya hasitosheke na kile alichonacho na ili kurahisisha ili ndipo mungu akatoa ruksa ya hao wanawake wanne wenye sifa tofauti.sasa unamkuta mtu kama ww anatangaza hawezi kuoa mke zaidi ya mmoja huku anavijumba zaidi ya tano mitaani,nashindwa kuelewa kabisa.
 
Nguvu zako tu kaka.... kama huwezi watu wanaweza unapiga mbili, moja, tatu... wenzio wanapiga sita, tano, saba.
 
Kuridhika ni subjective issue, huwezi kupata jibu la moja kwa moja katika haya mambo yanayohusu mtazamo. Unao uhakikia kuwa mwenza wako unamridhisha katika ndoa? Si wote wanaokuwa wakweli kusema kuwa hawajaridhika.

Sisi tulio kwenye ndoa haimaanishi kuwa kila siku tunakutana kimwili, kuna uchovu wa mwili, mazingira na tatizo la kisaikolojia. Ni mada ambayo hatutarajii kupata jibu la moja kwa moja labda uamue kupiga kura ili kupata jibu la wengi ambalo siyo halisia.

Issue ya dini haina mashiko, kwa sasa hata sisi twenye ndoa ya mke moja tuna nyumba ndogo ambazo tunazitumikia kama mke vile. Nashauri iwe badala ya wake wawili tuseme mwenye wanawake wawili. Nina maana kuwa MKE ni ndoa imepita na mwanamke tunazingatia jinsia pasipo uhalali wa ndoa.
 
Inawezekana na wote ukawaridhisha mpaka wakaridhika kwani unawabeba mpaka wakushinde?
 
Inawezekana sana tu! Mbona kuwa na waume watatu is vere posibo?
Kama umepata boom la kutosha oa hata watano, ukiishiwa watajipunguza kama waalimu na madalali wa vyumba hawajakusaidia.
 
wana jf naomba kuwasilisha mada yangu leo ili tuijadili kwa kina labda tunaweza kupata ufumbuzi tahdhari mada yangu haijalenga din. Ni kwamba mtu unakuta ana wake wawili anashi nao kila mke anakwake, amewapangia zamu za kuishi nao kila wiki mbilim kwa mwezi ,sasa wana jf nifahamishe kweli mwanaume anawamudu katika tendo la ndoa kweli ,nadhani labda wanwake walioko kwenye ndoa kama hizi watweza kutujulisha vizuri .maana siku hizi hata mmoja shughuli je wawili mpaka watatu inakuwaje

siyo rahisi, unajua mwanamke akijua leo mwenzake anapewa haki yake tayari kwa hisia hizo hizo na wewe uko zamu, anajivutia kijamaa mpaka monie
 
Kwanza weka vzr heading yako na isomeke kweli na sio keli,alafu nyie vijana wa siku hizi mnashangaza sana.Hii ni sawa na wale wanaodai hawako tayari kuoa wakisingizia garama ilhali wana mibinti wanayoihudumia kwa garama kubwa tu kuliko ata wale waliooa.vivo hivyo ktk hili suala lako,unajua binadamu hasa mwanaume kaumbwa na matamanio ambayo yanamfanya hasitosheke na kile alichonacho na ili kurahisisha ili ndipo mungu akatoa ruksa ya hao wanawake wanne wenye sifa tofauti.sasa unamkuta mtu kama ww anatangaza hawezi kuoa mke zaidi ya mmoja huku anavijumba zaidi ya tano mitaani,nashindwa kuelewa kabisa.

Mungu yupi?
 
kaka wewe oa hata wake kumi, ila mwanamke mmoja tu kumridhisha ni kazi ukioa zaidi ya mmoja tegemea wake zako kupiga kazi za nje
 
mimi ndiyo maana nilitanguluza kwamba suala dini tusilihusishe tujadili maisha kuwa na wake wawili kweli wanalizika
 
Mi najiuliza kuna sababu gani ya mtu kuwa faithful kwa mtu anayewapanga? Does he deserve??? Na ndio maana wengi wanawazidi akili (kwa siri lakini. Lol)

Inawezekana sana tu! Mbona kuwa na waume watatu is vere posibo?
Kama umepata boom la kutosha oa hata watano, ukiishiwa watajipunguza kama waalimu na madalali wa vyumba hawajakusaidia.
 
Wewe unamjua yupi?.

Wapo wengi, ila mimi ninamtambua na kumuamini Yahwe.

Yahwe ndie muumba wa mbingu na nchi na kila kitu kilichomo ndani yake. Yahwe alimuumba ADAM na EVA.

Ila kama angemuumba ADAM, EVA, PILI na ESTHER ningeoa wake wawili.

mungu Amadiora wa Nigeria naye ni mmoja kati ya hawa miungu wanaoruhusu kuoa wake wengi. Okonkwo alioa wa3
 
Haya mzee wa Yahwe,kaa uamini unachokiamini ili imani yako ikufikishe unakoamini kuwa utafika.Mie nilidhani Adam na Eva walifanya makosa ya kuzini ndipo wakapewa adhabu waliyoipata kumbe baada ya kuwaumba aliwafungisha ndoa kabisa?.Umenifungua macho mkuu.Ijumaa njema.
 
Tehe tehe tehe! Kumbe kufunga ndoa ni adhabu? Haya huyu jamaa yetu alifanya dhambi gani kubwa kiasi akapewa adhabu ya kuoa wake kibao mpk na wa miaka 6?

Very funny!
 
Back
Top Bottom