Mamzalendo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 1,670
- 558
Habarini wapendwa natumai wazima ndo tunaanza wikiend,sasa leo nlikuwa nataka tujadili kwa pamoja faida na hasira za mume na mke kulala kitanda kimoja na chumba kimoja,kwa uchunguzi wangu mdogo zamani haikuwa hivi mume alienda kwenye boma la mke alipomhitaji je huu utamaduni umetoka wapi?na pia wakati yakitokea magonjwa ya kuambukiza je si risk kwa wote?halafu pia mwenzio anapougua ukawa hupati huduma ikalazimu alale mwenyewe si itaonekana kama kumtenga?je huu utaratibu hauwezi badilika,ni hayo 2,mi naona risk kuliko umuhmu wake,