Ni Maneno Gani Ambayo Mpenzi Wako Akitamka Mkiwa Faragha Yanahamasisha?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni Maneno Gani Ambayo Mpenzi Wako Akitamka Mkiwa Faragha Yanahamasisha??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gosbertgoodluck, Sep 22, 2012.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mimi maiwaifu wangu akisema "mume nina hamu sana leo nataka unit.... mbe" huwa napata nguvu sana na muda si mrefu naanza kupanda mlima.
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Sasa maneno ya faragha kusema hapa, yatakosa faragha bwana! Mi naona aibu, ngoja nikalipulize kwanza.
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  mi akiwa anaongea maneno machafu na maneno ya hovyo huwa napatwa na mshawasha wa ajabu sana.
   
 4. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Jambo ni maneno ya faragha ngoja nitamke maana kuuliza siyo ujinga. Mimi nahamasika sana mamsapu wangu akitamka "dear mbona unchelewesha? ebu ingiza dear nimeimiss muda mrefu".
   
 5. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kama yapi vile ebu taja angalau moja tu. Ndicho anachotaka mleta mada.
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  wee itakuwa akikupa msuba tu.

  Mie akigonga hodi mlangoni, yaani weeee nakimbiaje nje?

   
 7. data

  data JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,766
  Likes Received: 6,536
  Trophy Points: 280
  ...naogopa kusema..
  Watanisemea wengine
   
 8. Shadycharlie

  Shadycharlie Member

  #8
  Sep 22, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Mi napenda akisema nakupenda dia unani**** vizuri nafurahia mno. Halafu pale anapomalizia kwa kusema Ohh Ahsante sana. Basi mimi bichwa hilooooo


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Whispering dity words.....in his ear
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Sep 22, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Too low for me.
   
 11. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #11
  Sep 22, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Mi akiniambia 'Nenda kaoge mpenzi' nakua hoi. . .kuoga sitaki tena. Tehe tehe.
   
 12. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #12
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Akisema ukimwi unaua.....
   
 13. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Shauri yako weye! Chezea wanawake; hayo maneno uambiwa wanaume zaidi ya watano na m/mke huyo huyo! Yawezekana anakuvimbisha kichwa tu!
   
 14. s

  souvenir Senior Member

  #14
  Sep 22, 2012
  Joined: Aug 24, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hahhahahaha
   
 15. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Kuna hatari huu uzi ukahamishwa hapa
   
 16. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #16
  Sep 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Duuu, hata kama mtwangio ulikuwa tayari kutwanga utanywea.
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Sep 22, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Ngoja jua liwake nivae sungoggles ndo ntaweza kusema. Hata nikipata harsheesh, inabidi nivae mawani ya mbao.

  Samahani, hiyo ya kugonga hodi, saa hiyo wewe ni me ama ke?
   
 18. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #18
  Sep 22, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mi akisema "mme wangu kabla yako nilikutana na bwana ana dushelele kuubwa na nikamtimizia kwa shida saana"
   
 19. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #19
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hii kali.
   
 20. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #20
  Sep 22, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mi akiniambia dia ninahamu na wewe..hata kama skuwa na mpango.. ghafla dushelele linaamka.
   
Loading...