bado ninaimani na JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

bado ninaimani na JF

Discussion in 'Love Connect' started by luku_77, Sep 12, 2012.

 1. l

  luku_77 Senior Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  habari za leo wa jf ? anae tafuta hachoki bali hupumzika tu, leo naamua niendelee na zowezi la usaili

  umri wangu ni 35 jisia mme nina watoto 2. elimu ataijuwa badae, rangi yangu mweusi, nafanya kazi ambayo inakizi mahitaji ya msingi.
  ninae mtafuta wakike miaka 22 hadi 32 sifa mama awe MKWELI na anaejitambua yeye ni nani sibaguwi dini kabila wala elimu ila atakae ongea kisukuma kwa ufasaha atapewa nasi twanga hapa 0773383100 sitajib sms.
   
 2. sister

  sister JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,026
  Likes Received: 3,932
  Trophy Points: 280
  mshirikishe pia na Mungu katika hilo.
  all the best.
   
 3. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,345
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 280
  Afadhali upate wa kukulelea watoto maana jua ndo linakuchwa hivyo

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 4. l

  luku_77 Senior Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yeah thanx!
   
 5. l

  luku_77 Senior Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  yeah nawe umesema!
   
 6. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mmmmh kisukuma kazi bwana, punguza masharti
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  mimi niko very interested lakini....mama wa watoto yuko wapi.....? na tukitokea kuwa pamoja kama yupo hawezi kuja kunichanachana uso na kiwembe......?
   
 8. l

  luku_77 Senior Member

  #8
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kisukuma sio pingamizi.!
   
 9. l

  luku_77 Senior Member

  #9
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hofu yanini..?
  kama unaogopa kujaribu haifai kabisa.! siku zote ukiwa na hofu na unachotaka kufanya hata ukijaribu hutafanikiwa. nakutakia siku njema.
   
 10. l

  lisalee Member

  #10
  Sep 23, 2012
  Joined: Sep 17, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mama wa watoto yuko wapi?
   
 11. l

  luku_77 Senior Member

  #11
  Sep 23, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  asante kwa swali na jibu ni hili ยป mpaka mda huu sina habari za kutosha kuhusu yeye. kwao ni dsm na sijuwi kama yupo kwao au laaa!
   
Loading...