Jee Ukilala, una jihifadhiii!!!!!

chiko

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
580
245
Katokea swahiba yangu kazini, kanipa kisa kimetokea mtaani kwao. Moto mkubwa sana ulitokea mwendo wa masaa ya manane usiku...katika patashika mtaani, ilikuwa mguu niponye, moshi na kiza kutanda kila mtu mbio huku na kule.

Rafiki yangu anambia, hajawahi kuona balaa na vituko kama alivyo ona siku hio....kumetokea watu wamevaa taulo viunoni, wengine vikoi, wengine kaptula ndogo...makufuli mbali mbali,mume kavaa kufuli ya mkewe, mke nae kavaa ya mume; chaa ajabu wengine walitoka vile walivyo zaliwa!!!!.

Kuna tabia, ya kina baba, haswa wenye mabibi kujiachia wakati wa kulala.. vijana wengi utapata wana kaptula ama hulala na nguo zao, wanawake hawakosi angalau kanga mmoja , lakini kina baba!! jamani hebu jaribuni kuwa makini wakati wa kulala. Isije tokea dharura watu waona makengelele yakigongana na kutishia watoto mtaani!!!!
 
Imetokea wapi hiyo si tungeisikia nasisi huku leo nimeshinda home kuanzia asubuhi hadi sasa nipo home sijasikia hiyo habari.BORA UNGETOA TAHADHARI YA KULALA UCHI KULIKO KUTUTUNGIA LI STORI.
 
Mm kwa kweli ndo siwezi kutupia kiwalo chochote nite ila ni kweli siku kikinuka itakuwa noma
 
Siiamini sana stori yako manake kwa maisha haya ya bongo hakuna anayelala kwa kujiachia kiasi hicho. Watu wako macho muda wote. Hata kama inatokea moto sidhani ndiyo eti watu watoke wako uchi wa mnyama. Anyways ajali ni ajali tu kitaeleweka siku ya tukio.
 
Duh! Mie huweka PJ jirani ili kama kuna kukurupuka basi inakuwa jirani.
 
boxa yangu haibanduki mwilini...hata nipige bao ngap???...nkishamaliza naitupia mwilini then naangusha.....
 
Najipigilia boxer yangu saafi usiku...........unajua usipohifadhi vizuri ikiswing swing iinalegea. Kifaa changu ni muhimu lazima nikitunze
 
Siiamini sana stori yako manake kwa maisha haya ya bongo hakuna anayelala kwa kujiachia kiasi hicho. Watu wako macho muda wote. Hata kama inatokea moto sidhani ndiyo eti watu watoke wako uchi wa mnyama. Anyways ajali ni ajali tu kitaeleweka siku ya tukio.

mi nilishuhudia siku ya mbomu gongo la mboto mtu katoka kwake pugu mpaka kinyerezi akiwa na boxer afu hajui kama anaboxer afu patashika ilianza mapema tu atasio nite kali so wa tz cjui ata niwa define vip kwa hilo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom