Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wajameni Mimi nilikua mwasilika wa hadithi za Willy Gamba. vitabu vyote nilivipitia vyote isipokua kile kilichopigwa marufuku cha Hujuma. Leo niwakumbushe kidogo wahusika KIKOMO mwadui shinyanga...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Je kama umeoa na bahati mbaya sehemu yako “nyeti” ni ndogo sana, je mkeo akidai talaka kwa kigezo hicho atakuwa amefanya makosa. Au mkeo sehemu zake “nyeti” ni kubwa sana je mmewe akiomba talaka...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari Wana JF! Kuna kitu nimewahi ki experience nikiwa sekondari na chuo. Kuna jamaa mmoja alivyokuwa anapiga paper kama ikitokea hajamaliza afu msimamizi akasema "time is over"... jamaa anamwaga...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
huwa naskia kuhusu celibacy. Ni nini? Inasaidia nini? Ni vitu gani usifanye ili celibacy iendelee kuwa valid. Msaada tafadhali . . .
7 Reactions
194 Replies
13K Views
Wana JF, mlichukua muda gani kuanzia kukutana na mwenza wako/ kuanza kudate mpaka ndoa? Kuna correlation kati ya muda unaochukua kumfahamu mtu, na furaha katika ndoa? Je mlikutana na surprises...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
  • Closed
Kwa niaba ya wanaume wote wanaokosa starehe ya tendo la ndoa kutoka kwa wake zao kwa sababu mbali mbali, Kwa niaba ya wanaume wote wanaokosa nafasi ya kufuatilia wasichana kwa miezi sita kwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nauliza ushauri wenzangu...mie nimelelewa kijijini kwa desturi za kitanzania kwa misingi ya kuwa mtu wa kabila lako kama ni mkubwa basi baba, shangazi, mjomba, au mama...kama ni lika sawa basi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hi! Mimi ni tz boy nina 22yrs. Urefu ft 6 kasoro inch 3. Mng'avu. Natafuta msichana au mmama wa kutoka nae. All u want do, do fo luv(2pac)
0 Reactions
11 Replies
1K Views
A lady aged 32,mother of one son, single, never married. Employed and independent,religious neutral. Looking for a single man to guide me, share life's joys and challenges with, have fun with...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Jamani naombeni masses wenu wanajf I had a bf ambaye tulikuwa in relationship for 4 years ila we couldn't make it tutaachana nikaolewa na mwanaume mwingine, The problem is I can't forget my ex...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Maisha ya ndoa n raha au karaha?
0 Reactions
1 Replies
833 Views
Is it proper as a father to ask your daughter (above 18) if she as never Be Intimate before. I'm talking of the girl child still under your roof as a single girl. ni sawa kwa wababa kumuuliza...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
wadau kwa nia ya dhati niliweka bango la kuhitaji mchumba hapa jf na kweli nilipata,kwa muda mfupi tu baada ya kukutana nilibaini hatuwezi kuishi,na kwa kuwa lengo ilikuwa nipate mke basi nikaamua...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Waswahili hulonga..."penye chokochoko.." Usiache kupapulizia papoe, pakitulia... Basi ujue mambo yamejipa na ni shwari.. Pakiendelea kufurukuta basi elewa kazi ipo Wajamani, "it feels good 2 know...
39 Reactions
67 Replies
4K Views
Mimi na wife wangu tuna miaka mitatu na zaidi sasa tangu tufunge pingu za maisha. na ni mwaka wa tano tangu tuwe wapenzi. Ninamuamini saaana na yeye ananiamini saaaana tu. Huwa sikagui simu yake...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Ni zaidi ya miaka miwili nimekuwa kwenye mahusiano na mwanamke ambaye daima huwa ananambia kuwa hana mume. Jana nikakutana ma rafiki yake ambaye yeye ananifahamu mi simfahamu. Nikasikia ananiita...
0 Reactions
62 Replies
4K Views
Yaani usiombe mwanamke akuchukie hiyo revenge duh .
0 Reactions
1 Replies
848 Views
habari wana Nzega! Natafuta kampani ya wana JF waliopo Nzega.....iwe wa kiume au wa kike haina shida. Nina miezi 6 tangu nimefika nzega ila niko bored ile mbaya. nahitaji kampani kwaajili ya...
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Kuna hekima kubwa ya kuishia nje wakati mkeo ana muona daktari. Au mkeo kubaki nje wakati unamuona dacktari. hii ni kwasababu uchunguzi mwingine nadhani haufai mkawa wote. Kwamfano, kipimo cha...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
kichwa cha habari hapo juu chausika. ABOUT ME IN A NUTSHELL umri ; miaka 32 elimu;university graduate ccupation;emloyed and entreprenuer home;kilimanjaro Phisical;sportman size, good looking...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…