Shukrani kwa mahaus gel aka beki tatu aka wadada wa nyumbani aka kimbilio la wengi

Status
Not open for further replies.

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,554
2,000
Kwa niaba ya wanaume wote wanaokosa starehe ya tendo la ndoa kutoka kwa wake zao kwa sababu mbali mbali,
Kwa niaba ya wanaume wote wanaokosa nafasi ya kufuatilia wasichana kwa miezi sita kwa sababu za kimaisha,
Kwa niaba ya wanaume wote wanaokosa ngono kutokana na sababu za kiuchumi kwa kuwa siku hizi ni biashara,
Kwa niaba ya wakaka wetu wanaofanya kazi za ndani ambao muda mwingi wanautumia kufanya kazi zetu,
Kwa niaba ya vijana wetu wanaonza mchezo huu na wanaotafuta uzoefu,
Kwa niaba ya wageni wetu wanaofikia kwenye nyumba zetu na kukaa muda mrefu bila kazi,
Kwa niaba ya wanaume wote walevi wanaorudi usiku wa manane na kufunguliwa mlango na nyie,
Kwa niaba ya wanaume wote ambao wake zao wakijifungua wanakwenda kwao kwa miezi mitatu au zaidi,
Kwa niaba ya wanaume wanaoishi na wanawake wanaofanaya kazi, benki, wizara ya mambo ya nje, Ikulu na kwenye balozi,
Kwa niaba ya wanaume wanaoishi na wanawake waliolazimishwa kuwa oa na wazazi wao wanaotafuta sababu za kuachwa,

Napenda kutoa shukrani zetu kwa moyo wenu wa huruma, upendo na uvumilivu licha kuchukiwa na wake zetu, kusemwa na jamii mmeendelea kutusadia huduma zenu muhimu. siku zote mti wenye matunda ndio upigwao mawe, maneno ya wake zetu, dada zetu na mama zetu yasiwavunje moyo. Huduma zenu ni muhimu sana, mnachangia sana kuimarisha ndoa zilizopangiwa kudumu na kuzivunja zile zenye matatizo. Mna mchango mkubwa kwenye maendeleo ya kitaaluma ya watoto wetu mnao wapatia huduma zenu nyumbani hivyo kuokoa muda wa kuzurura mitaani. Mmechangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya kiuchumi kwa kuokoa pesa ambayo ingekwenda kwa machangudoa na kuishia kwenye pombe, bangi na madawa ya kulevya na kuifanya ibaki kwenye familia. mmetuokoa wengi sana manyanyaso ya wake zetu kwa kuwa mmekuwa mfano hai wa kuwa huduma ya tendo la ndoa si exclussive kwa wake zetu. Mmewaepusha wake zetu na fedheha ya kuonenkana hawana udhibiti na ndoa zao kwa kuwa shida zote zinamalizikia ndani na sio kwa mashangingi wa mtaani. Mmetufundisha umuhimu wa kumthamini mwanamke bila kujali hadhi yake kijamii.
Na uhakika hakuna anayeweza kumaliza mema yenu kwa kuyaandika hata angepewa dunia nzima aiandike, ninachoweza kuwaambia kuwa tunawathamini sana japo mara nyingine inabidi kuficha ili tusiwakwaze wake zetu. Asanteni mabeki tatu.
 
Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,960
2,000
Dah nikajua nivea anamshukuru hausi geli wake mjamzito.
 
Last edited by a moderator:

Tausi Mzalendo

JF-Expert Member
May 23, 2010
1,471
0

Inaonyesha ulivyo - TOO LOW
Omba mkeo naye ashukuru wanaokusaidia kwa sababu mbalimbali
Kama hapajachimbika aisee!
Haya mambo hayawekwi hadharani wewe kijana/mzee
 
kamusi

JF-Expert Member
Aug 9, 2012
1,079
1,250

we una laana we..yani ungejua ulivyoniboa,aaaaaaaakh.....mzxxxxxxxx kabisa..
yani house girl nimtafue mie we uje utolee mastress yako hapo.........haki ya Mungu kuanzia leo fukuzilia mbali hizi takataka.....naleta housi boi......
 
Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,554
2,000
Inaonyesha ulivyo - TOO LOW
Omba mkeo naye ashukuru wanaokusaidia kwa sababu mbalimbali
Kama hapajachimbika aisee!
Haya mambo hayawekwi hadharani wewe kijana/mzee

Mitusi ya nini unadhani stress zako na relationship zako zina nafasi hapa, kwa taarifa yako mwili wa mke wangu ni wake na ana mamlaka yote ya jinsi anavyotaka kuutumia..huo ndio ukweli, hata akitaka kumpa chizi sina mamlaka ya kumzuia
 
Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,554
2,000
we una laana we..yani ungejua ulivyoniboa,aaaaaaaakh.....mzxxxxxxxx kabisa..
yani house girl nimtafue mie we uje utolee mastress yako hapo.........haki ya Mungu kuanzia leo fukuzilia mbali hizi takataka.....naleta housi boi......

pole mydia najua mnapenda sana kudanganywa lakini huu ni ukweli wangu mimi, na uhakika shemeji yangu hana kabisa tabia hizi usije kumhukumu kwa makosa yangu.
 
Tausi Mzalendo

JF-Expert Member
May 23, 2010
1,471
0
we una laana we..yani ungejua ulivyoniboa,aaaaaaaakh.....mzxxxxxxxx kabisa..
yani house girl nimtafue mie we uje utolee mastress yako hapo.........haki ya Mungu kuanzia leo fukuzilia mbali hizi takataka.....naleta housi boi......

yaani!
Uzuri wa JF.... ni kama jalala linabeba kila kitu.Ukimweleza ukweli..anajibu sisi tunaomkosoa ndio tuna stress.
Hajitambui kuwa " uhatia uliomjaa moyoni" kwa uchafu anaoufanya chini ya paa la nyumba anamolelea watoto wake, ndio unamsukuma kuja kuungama hapa akijifanya anaandika mada! Tumsamehe bure tu maana kapotea.
Kweli duniani kuna watu na viatu!
 
kamusi

JF-Expert Member
Aug 9, 2012
1,079
1,250
yaani!
Uzuri wa JF.... ni kama jalala linabeba kila kitu.Ukimweleza ukweli..anajibu sisi tunaomkosoa ndio tuna stress.
Hajitambui kuwa " uhatia uliomjaa moyoni" kwa uchafu anaoufanya chini ya paa la nyumba anamolelea watoto wake, ndio unamsukuma kuja kuungama hapa akijifanya anaandika mada! Tumsamehe bure tu maana kapotea.
Kweli duniani kuna watu na viatu!

watu wengine bwana kutuharibia siku bure tu

mijitu mingine badala ya kufikiri kwa kichwa wanafikiri kwa m*a*k*a*l*i*o
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom