Faza wife ako kasimama kweli....

sarikoki

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
1,195
0
Dah! kila siku zinavyozidi kwenda ndo maadili yanaporomoka.... weekend nilikua mahali kuna vijana kama wanne hivi wote wanaume....wamekaa kaunta wanataniana kuhusu wake zao......Mmoja kati yao akamwambia mwenzao..."Aisee Faza wife ako kasimama balaaa".... nilikua nameza kesto yangu kidogo inipalie maana sikutegemea kama mtu unaweza kumwambia mtu maneno yale..aiseee ni balaa..na nimechoka.
 
HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,613
2,000

Labda kwa sababu walikuwa wamelewa halafu wanataniana ndiyo maana wamediriki kusema hivyo, ila vinginevyo ni jambo ambalo si la kawaida sana kwa mazingira yetu ya kibongo
 
Tamatheo

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,304
1,500
Sioni tatizo kubwa hasa kama walikuwa na story za kusifia wake zao yaani kila mmoja ameoa, pia ni vigumu kuwazuia marafiki zako kumtamani mkeo hasa kama ulitoka kabla ya Carolite Cream, Jaribu Soap, Mediven cream, etc pamoja na viwezeshaji ya kichina hapo naamini ulipata mke ua kama nyimbo za zamani za kina Wilson Peter Kinyonga zilivyosifia wa wakati ule, ila kwa uchache sasa wapo wale waliopewa elimu ya kujiamini mapema darasa la 4-7 ila kumtongoza na kumbemenda ndilo unaloweza kuzuia mkishirikiana na juhudi za mwenza wako.....Kuna usemi wa mtaani "KABLA YA NDOA NA MWANAMKE MZURI,MREMBO, MASHALAAH etc HAKIKISHA UNA BASTOLA AINA YA REVOLVER FULL 45 BULLETS NYUMBANI"
 
Tized

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
4,023
2,000
Rejea maandiko haya utapata mwanga kidogo: Mithali 31:4 Ee Lemueli, Kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme; Wala haifai wakuu waseme, Ki wapi kileo? 5 Wasije wakanywa na kuisahau sheria, Na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni. 6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. 7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake. "
 
mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
9,267
2,000
Hata mimi nilihisi kinachofata ni hicho nikaama kaunta...
hahahahahaha.....sasa hapo watu kama sie tunanyuti tuu unacheka na huyo jamaa aliyosema hivyo huku rohoni unaweka wazi kuwa huyu mke wake lazima nimgegede na tena hadi tigo nimle
 
sarikoki

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
1,195
0
Rejea maandiko haya utapata mwanga kidogo: Mithali 31:4 Ee Lemueli, Kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme; Wala haifai wakuu waseme, Ki wapi kileo? 5 Wasije wakanywa na kuisahau sheria, Na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni. 6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. 7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake. "
Hii naiprint kama ilivyo naikuza naifremu alafu naiweka sitingi rumu kwangu...... usiniulize kwa nini.
 
Top Bottom