Tushauriane tu wana jamvini coz ndoa ni furaha

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,210
Je kama umeoa na bahati mbaya sehemu yako “nyeti” ni ndogo sana, je mkeo akidai talaka kwa kigezo hicho atakuwa amefanya makosa. Au mkeo sehemu zake “nyeti” ni kubwa sana je mmewe akiomba talaka kwa kigezo hicho atakuwa amefanya makosa.

Ukizingatia sheria za dini na maadili aziruhusu kupimana mpaka ndoa
 

steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
8,210
7,741
Mkuu,ni kosa sana,kwani kabla hamjaoana hamkujuana maumbile yenu,si kuharibiana maisha huko,ni four sana kaka
 

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,774
6,527
Je kama umeoa na bahati mbaya sehemu yako "nyeti" ni ndogo sana, je mkeo akidai talaka kwa kigezo hicho atakuwa amefanya makosa. Au mkeo sehemu zake "nyeti" ni kubwa sana je mmewe akiomba talaka kwa kigezo hicho atakuwa amefanya makosa.

Ukizingatia sheria za dini na maadili aziruhusu kupimana mpaka ndoa

kwa sasa hili halifanyi kazi kabisaa kwani tunatusuana kabla ya ndoa...:cheer2::cheer2:
 

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
21,197
28,010
bupa kubwa hahaaha mwana hukudumbukia kwenye kisima kabla ya kufunga ndoa?
 

Neylu

JF-Expert Member
May 28, 2012
2,942
1,838
Mmmh... Haya mambo ya kusubiria ndoa ndio mle tunda.. Madhara yake ndio hayaaa...!!

Juaneni kabla ya ndoa ili ujue mapema unaenda kuishi na mzigo wa aina gani..!!
 

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,872
4,530
Vijana wa kisasa mna mengi. Nimejifunza kitu kimoja toka kwenye hoja zenu---- hamjapelekwa jando. Ni bahati mbaya sana kwenu hasa kizazi hiki cha dot com. Swali lako lina jibu rahisi kuwa maumbile ni visingizio tu. Mungu si mjinga akupe ushababi akunyime jembe. Jembe lolote laweza kulima ilmradi mwenye kulitumia ajue jinsi ya kulima.
 

MR NUKTA

Member
Dec 5, 2012
42
3
Mdau, ukiwa na tabia hiyo uta jaribu wangapi mpaka umpate mnao lingana? Chamsingi kunamengi yaku fanya ili kumrizisha kabla ya kumuingilia inaweza saidia kwan wote binadamu tuna mapungufu
 

bysange

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
4,442
1,534
Ili ujue kuwa kuna mnene lazima mfupi awepo na ulijue hilo,kujua kuwa mchi au kinu nikikubwa au kidogo lazima ujue kuwa ulionja na kuzifahamu saizi mbalimbali haya ni madhara makubwa sana ktk mahusiano tupunguze mtandao tulinde ndoa zetu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom