Sioneshi kama nina nina wivu mwenzenu

Mwenyeminazi

Senior Member
May 24, 2012
195
195
Mimi na wife wangu tuna miaka mitatu na zaidi sasa tangu tufunge pingu za maisha. na ni mwaka wa tano tangu tuwe wapenzi.

Ninamuamini saaana na yeye ananiamini saaaana tu. Huwa sikagui simu yake na ikiiita nampa bila kuangalia nani anapiga hadi aniulize ni nani huyo anapiga naangalia ndio namueleza ni Fulani ..........

Yeye huwa anakagua yangu mara kibao na huwa namuambia aache hako katabia katatugombanisha. anasema eti siku hizi simpendi tena kama zamani.

Nikamuuliza kulikoni anasema hayo, akajibu sioni kama una wivu wowote kwangu.
Nikamuambia sina wivu kwa vile nakuamini na unajua nakuamini na kukupenda pia. Upendo wangu haujabadilika tangu na tangu.

Jamani nifanyeje nioneshe kuwa nna wivu maana siwezi kupretend wivu, Namuamini saaana.

Au nakosea waungwana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????
Mapenzi hayana utaalamu tushauriane kwa lolote jamani.

Mshedede anaupata na anakiri nammaliza kabisa kwa hiyo mikitu yangu kunako 6*6 ila haishi kusema simuonei wivu wowote hata kidogo hivyo anadhani upendo umepungua
 
Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
0
Hata huo mshedede huenda anakupiga changa la macho,ila anza kumfatilia kagua cmu yake mwekee watu wa kumfatilia piga cm kila baada ya nusu saa kumwuliza yuko wapi na nani anafanya nn,mpige marufuku kutembelea mashosti,kwenda salun,sokoni, kutoka hmu bila ruhusa yako then afta mwezi utapata majibu...
 
prianka

JF-Expert Member
Aug 29, 2012
684
195
daaah au nae anataka kua kama ndugu ze2 wale wakina mwita maranya mke asipo guswa inakua balaa ok anza kumfuatilia ili ajisikie raha kila mara mtafute kwenye phone na kumuuliza yuko wapi ukiwa haupo home na hata ukiwepo jaribu pia kumuuliza uliza
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,992
2,000
Ongeza wivu ili aone unampenda kwa kuanza kupekua simu yake kila siku kwa masaa kama matatu hivi au manne.

Last edited by a moderator:

Tamatheo

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,302
2,000
Mimi na wife wangu tuna miaka mitatu na zaidi sasa tangu tufunge pingu za maisha. na ni mwaka wa tano tangu tuwe wapenzi.

Ninamuamini saaana na yeye ananiamini saaaana tu. Huwa sikagui simu yake na ikiiita nampa bila kuangalia nani anapiga hadi aniulize ni nani huyo anapiga naangalia ndio namueleza ni Fulani ..........

Yeye huwa anakagua yangu mara kibao na huwa namuambia aache hako katabia katatugombanisha. anasema eti siku hizi simpendi tena kama zamani.

Nikamuuliza kulikoni anasema hayo, akajibu sioni kama una wivu wowote kwangu.
Nikamuambia sina wivu kwa vile nakuamini na unajua nakuamini na kukupenda pia. Upendo wangu haujabadilika tangu na tangu.

Jamani nifanyeje nioneshe kuwa nna wivu maana siwezi kupretend wivu, Namuamini saaana.

Au nakosea waungwana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????
Mapenzi hayana utaalamu tushauriane kwa lolote jamani.

Mshedede anaupata na anakiri nammaliza kabisa kwa hiyo mikitu yangu kunako 6*6 ila haishi kusema simuonei wivu wowote hata kidogo hivyo anadhani upendo umepungua

Looh same as my wife, but mimi alipolalamika nilijaribu kuangalia simu yake hasa nikijua atakuja anikute ila unajua tabia ambayo hujaizoea inakusumbua ila kila mara najisahau kukagua ila za kwangu kila akihitaji.....Ila wandugu mwanzo niliona kama ananibana sana ila nimekuja gundua mapenzi yanajengwa na chembechembe nyingi wivu ukiwa miongoni hivyo kama mwenzio ana wivu mjengee mazingira ya kujiamini na kujiaminisha kwani usipofanya hivyo mapenzi hakuna
 
Mahmetkid

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
733
500
Siku zote mwizi uwa anajihisi sana, inawezekana kuna katabia anacho sasa anataka kujua kama wewe pia unacho ako katabia kama yeye.

Be care, fanya uchunguzi wa kina utagundua nini kinamsababishia hali hiyo.
 
Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,010
1,500
Kwa kweli hata mie napenda mtu anionee wivu japo kidogo
Yaani hata anikute gest aseme okay kisa nakuamini??? Tunaachana!

Raha ya mwanamme na wivu uwepo, inaongeza 'confidence' hivi ya mahusiano
 
Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,010
1,500
Lazima niset shosti awe ananitumia sms za 'goodnight' na kunipigia tukianza tu game.
Afu namsave kwa Surname yake

Aisee, hata ingekuwa mie ningemind. Yaani nisionewe wivu hata kiduchu? Ningekutafutia sababu uone wivu hadi ukome.
 
Blaine

JF-Expert Member
Jan 11, 2012
2,276
0
M...Mshedede anaupata na anakiri nammaliza kabisa kwa hiyo mikitu yangu kunako 6*6 ila haishi kusema simuonei wivu wowote hata kidogo hivyo anadhani upendo umepungua
here is the problem, unajiamini sana kwamba unamfikisha so huoni kwamba anaweza enda nje, "hakubabaishi wewe ndio kidume". just fake it, it shud be easy enough. angalia simu na jifanye unanuna akienda out
 
cheupe sr

Senior Member
Aug 18, 2012
102
195
Raha ya pendo shurti ka wivu kidogo, sawa unamwamini, but you should show her kwamba una jelous nae a bit ndo inanoga.
 
zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
225
unajua mara nyingi mtu akiwa anafanya makosa akaona haujali, wala haufuatilii anakuwa na wasiwasi..
inawezekana mkeo kuna ishu alifanya akihisi labda umegundua akategemea utamuuliza lakini akakuona kimya hapo akapata wasi wasi! kuwa nae makini sana mchunguze kimya kimya pasipo kumwambia lolote fuatilia nyenendo zake!
mind you usimwamini 100% manake wewe hauna akili yake wala hujui anawaza nini wala nyenendo zake zote huwezi zijua!
 
decruca

JF-Expert Member
Jun 18, 2012
295
195
Mimi na wife wangu tuna miaka mitatu na zaidi sasa tangu tufunge pingu za maisha. na ni mwaka wa tano tangu tuwe wapenzi.

Ninamuamini saaana na yeye ananiamini saaaana tu. Huwa sikagui simu yake na ikiiita nampa bila kuangalia nani anapiga hadi aniulize ni nani huyo anapiga naangalia ndio namueleza ni Fulani ..........

Yeye huwa anakagua yangu mara kibao na huwa namuambia aache hako katabia katatugombanisha. anasema eti siku hizi simpendi tena kama zamani.

Nikamuuliza kulikoni anasema hayo, akajibu sioni kama una wivu wowote kwangu.
Nikamuambia sina wivu kwa vile nakuamini na unajua nakuamini na kukupenda pia. Upendo wangu haujabadilika tangu na tangu.

Jamani nifanyeje nioneshe kuwa nna wivu maana siwezi kupretend wivu, Namuamini saaana.

Au nakosea waungwana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????
Mapenzi hayana utaalamu tushauriane kwa lolote jamani.

Mshedede anaupata na anakiri nammaliza kabisa kwa hiyo mikitu yangu kunako 6*6 ila haishi kusema simuonei wivu wowote hata kidogo hivyo anadhani upendo umepungua

Na mimi nina tatizo kama la mkeo. nina about ten yrs ya pingu za maisha sijawahi kuonewa wivu. Sasa hebu nikuulize ww mwenyewe hivi ni kweli unampenda? manake mi nahisi sipendwi ila sasa nashangaa anawajibika sana kwa familia yaani nitake nini asinipe, watoto anawajali. mimi ndio usiseme. lkn hanionei wivu. nikimuuliza juu ya hilo ananijibu hawezi kuninyima uhuru kwani mimi ni binadamu ninahitaji kuwa huru na maamuzi yangu pia. Ila natamani sana kuonewa wivu. nakushauri anza kumuonea wivu kwani naelewa anavyojisikia.
 
sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,537
2,000
Kwa kweli hata mie napenda mtu anionee wivu japo kidogo
Yaani hata anikute gest aseme okay kisa nakuamini??? Tunaachana!

Raha ya mwanamme na wivu uwepo, inaongeza 'confidence' hivi ya mahusiano

Tatizo lililopo ni wengi wetu kuchanganya wivu na kupenda..! Inawezekana kukawa na kahuciano lakini mara nyingi haya yanakuwa tofauti Kongosho.. Wivu upo lakini kila mtu ana aina yake ya wivu.. Kwa maana nyingine wivu ni hulka ya anaehucika.. Sasa hapa wivu unaweza kuwa tofauti na tabia ya muhucika.. Kwa mfano wewe unadai akikukuta guest halafu akakuamini kwako litakuwa ni tatizo.. Haimaanishi hana wivu.. Bali ni ile hulka yake alivyo.. amekupenda na anajua na wewe anakupenda.. Principle namba moja ya mahaba ni trust ambayo yeye anaifanya kwa kiwango cha juu.. Anaamini kwa kuwa unampenda hutoweza kumsaliti hivyo kupelekea yeye kuamini hata hapo guest alipokukuta anaamini hujafanya kitu.. unlec ukiri mbele yake kwamba umemsaliti Kongosho..
Ila kuna wengine ambao wana hulka hiyo ya wivu unaoupendelea ambao wanaweza hata kuua..
 
Mwenyeminazi

Senior Member
May 24, 2012
195
195
Nashukuru saaana kwa ushauri wenu.
Kwa kuwa mmesema wivu ni muhimu kidogo nimeanza kumeza Phone Book yake.
Ole wake liongezeke Jina la Mwanaume nauliza huyu nani na kwanini yupo ktk simu yake.

Simu kila mara kuuliziayuko wapi na akisema yuko mahali fulani namuambia anisubiri hapo hapo namfuata.

Niulize kitu "naruhusiwa kununa bila sababu kama ishara ya kawivu hako kadogo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom