chopeko
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 1,529
- 1,102
Habari Wana JF!
Kuna kitu nimewahi ki experience nikiwa sekondari na chuo.
Kuna jamaa mmoja alivyokuwa anapiga paper kama ikitokea hajamaliza afu msimamizi akasema "time is over"... jamaa anamwaga wazungu!!!! Sasa ckuwahi kujua sababu ya kumwaga wazungu katika mazingira ya mtihani ni nini!
Mwenye maelezo ya hilo jambo anaweza nisaidia!