Wadau natafuta dawa nisiwe na feeling kwa mke wangu

Iboho

Member
Aug 24, 2011
19
0
Mara nyingi nikitaka kushiriki tendo la ndoa anakuwa na sababu nyingi, mara sijisikii,mara nausingizi, yaani kwa ujumla hapendelei kunipa ninapotaka kuwa naye,
nifanyeje sina ujanja natafuta namna nisiwe na feeling naye tuwe kaka na dadad tu basi.
 

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,010
1,500
Kiboko ya dawa ni nyumba ndogo, tena ile haijaolewa, afu haina kazi.
Zitaisha zenyewe na utahama

Swali la msingi: Huwa unamfurahisha na yeye?
Baadhi ya wanamme pamoja na kujisifu, yaani mie daily afu vitatu, siri anaijua mwanamke, workdone=0
 

Mtoto wa kitaa

Senior Member
Nov 7, 2012
149
0
Dah! Pole sana haina aja ya kutafta dawa ,dawa ni wewe mwenyewe yawezekana umuandai vizuri mkeo ndo maana anakuwa mgumu kushiriki tendo labda uwa unamboa umfikishi anapotaka angalia sana hapo labda unakosea au yamezekana ana kidume mwingine anamulizisha mchunguze pia hapo mkeo labda kuna jambo .
 

Iboho

Member
Aug 24, 2011
19
0
Asante sana, nampenda sana mke wangu nimeinvest kuhakikisha nampa raha katika mapenzi, lakini ni goli moja tu basi anakuwa hoi hapendi kuendelea na pia, baada ya hilo goli ni wiki ama zaidi, na ni kwa mikiki, anakuwa na sababu kibao
 

MR. ABLE

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,475
2,000
Jiweke bize na mambo yako, hasa ya kimaendeleo, na kama unahitaji kurefresh mind penda kutembelea threads za watu humu JF utapata burudani za kutosha hata hamu ya kufanya ngono hutaisikia.
 

mwaJ

JF-Expert Member
Sep 27, 2007
4,074
1,195
...Swali la msingi: Huwa unamfurahisha na yeye?
Baadhi ya wanamme pamoja na kujisifu, yaani mie daily afu vitatu, siri anaijua mwanamke, workdone=0

Ndio maana nakupenda bure Kongosho! Siwezi kusema zaidi. Nasubiri jibu la mdau.
 
Last edited by a moderator:

Iboho

Member
Aug 24, 2011
19
0
kwakweli sijui kama anafurahi kiasi anchofikiri yeye lakini nina uhakika namfurahisha kadiri niwezavyo,nampenda sana na sijawahi kufanya hii kitu nje ya ndoa yetu tangu tulipofunga ndoa miaka mitano iliyopita. tunapobahatika kufanya tendo kwakweli nampa mapenzi ya uhakika
 

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,487
2,000
Asante sana, nampenda sana mke wangu nimeinvest kuhakikisha nampa raha katika mapenzi, lakini ni goli moja tu basi anakuwa hoi hapendi kuendelea na pia, baada ya hilo goli ni wiki ama zaidi, na ni kwa mikiki, anakuwa na sababu kibao

kama vipi jaribu hii
 

Attachments

  • Kusimamisha gari.jpg
    Kusimamisha gari.jpg
    27.3 KB · Views: 98

majany

JF-Expert Member
Sep 30, 2008
1,224
2,000
Hebu jiweke busy bana......usikute maisha mabovu,wife anaona shida tupu......hebu tafuta chapaa..mwenyewe atapandisha n.y.e.g.e..........home hapaeleweki af unataka mzigo daily!!!!:majani7:
 

Iboho

Member
Aug 24, 2011
19
0
Kaka Tatizo sio wala chapaaa, nina turn over ya net 8.7mill kila mwezi ana gari yake ya kuzungukia hapa mjini na tunaishi huku tabata maisha sio magumu kivile, hiyo pesa inatutosha sana kwa matumizi ya kawaida
 

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,960
2,000
Mletee mwanamke mwingine nyumbani kisha unamegea sebuleni atashika adabu
 

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,367
1,250
kwakweli sijui kama anafurahi kiasi anchofikiri yeye lakini nina uhakika namfurahisha kadiri niwezavyo,nampenda sana na sijawahi kufanya hii kitu nje ya ndoa yetu tangu tulipofunga ndoa miaka mitano iliyopita. tunapobahatika kufanya tendo kwakweli nampa mapenzi ya uhakika
khaaa imekuwa bahati tena?
pole sana ndugu yangu. hebu tuambie ukweli anafanya shughuli gani maybe anachoka kweli, hebu funguka kidogo kuhusu life style yenu ,shughuli,chakula mnachokula ,mahusiano yenu ili tuweze kukusaidia kwa ukaribu zaidi
mfano usikute ni mlinzi anarudi saa kumi na moja asubuhi na wewe unataka tunda au unamlisha ugali dagaa daily n.k ama kila siku ni maugomvi na yeye na mitusi .nk funguka
 

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
60,628
2,000
Mkuu shughulisha kiuno chako hicho, kizungushe kama umefunga mota...
Usiwe kama hawa bhanaa...

mating.jpg
 

Lisa

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
1,549
1,195
Kaka Tatizo sio wala chapaaa, nina turn over ya
net 8.7mill kila mwezi ana gari yake ya kuzungukia hapa mjini na tunaishi huku tabata maisha sio magumu kivile, hiyo pesa inatutosha sana kwa matumizi ya kawaida

Khaaaaaaaaaaaa! Iboho naomba uni PM mimi nitakusaidia jinsi ya kufanya, maana hapo kwenye bluu mm nahitaji 1M kila mwezi wala sitaki nyingi. FANYA HARAKA NISIJE NIKAPATA MTU MWINGINE WA KUMSAIDIA.:A S 12::A S 12:
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom