Kwa staili hii Miaka Ijayo Mahausigeli Ndo watakuwa Wake wa Kuoa..!!

MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,988
Likes
5,383
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,988 5,383 280

Kama nilivyo elezea kwenye kichwa cha habari hapo juu,
siku hizi watu wengi wamekuwa na mtindo wa kuajiri wasichana wa kazi (mahouse girl) ili kusaidia kazi za nyumbani.
Ndio hatukatai pengine mama mwenye nyumba anaweza kuwa anazidiwa na kazi,
Kama kufua nguo za mzee,watoto,kunyoosha, kuandaa chakula nk.
Lakini kuna wadada/wanawake wengine unakuta watu wako wawili yeye na mumewe,
eti nao wanaweka house girl sijui wa nini?eeh!!!
tena wengine sijui ni sifa eti anaajiri wawili kabisa kwa kazi zipi sasa?na wewe ufanye kazi gani?
Ya kupaka rangi kucha na kuchat kwenye mitandao? halafu bila aibu unasifia chakula alichoandaa house girl mbele ya mumeo.Na unaangalia tu house girl anamnawisha mikono mumeo na kumkausha na taulo,wewe upo tu kwenye kiti kama umegundishwa na super glue vile.
huyo jamaa yako akila chakula kitamu cha house girl, si atataka ale na kile cha usiku aone utam wake?
hapo ndipo timing zinapoanzia na ukizingatia mahouse girl walivyo na heshima,
baba akifika na kamzigo anapokelewa kwa mikono miwili na anapigiwa goti,
wakati huo we upo upo tu kama koti la mvua linasubiri masika.
Sijui ndio kusema hamuelewi mko pale kwa ajiri gani?na house girl akiboronga kidogo tu macho na sauti ya ukali inakutoka kama nini,
Hujui kwamba unapofanya hivyo unamkomaza house girl,hapo kwako ni sawa na chuoni kwake anachukua mafunzo ya maisha.
Mumeo akisifiwa kazini nguo zake zinang'aa atamkumbuka house girl,
akisifiwa kwamba ananawili atamkumbuka house girl,
akisifiwa kwamba viatu vyake vinang'aa atamkumbuka house girl,
Ndio si house girl ndio anaye fanikisha yote hayo?wakati wewe uko bizy ku up load picha fb?
mwisho wa siku unatemwa kama big G iliyo chacha,
halafu watu wanabaki kushangaa mbona jamaa kamuacha mwanamke mzuri vile halafu kabeba house girl?
kumbe ni janga la kitaifa hajui A wala B kifupi hajitambui,
Badilikeni nyie kina Eva ma house girl watawapiga bao ohooo!!!!!!
 
Himidini

Himidini

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Messages
5,554
Likes
193
Points
145
Himidini

Himidini

JF-Expert Member
Joined May 8, 2013
5,554 193 145
^^
MziziMkavu unatafuta ugomvi wa wanawake wa JF..wanapenda kusifiwa tu hawapendi kuambiwa ukweli.
^^
 
Last edited by a moderator:
sungura1980

sungura1980

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Messages
1,912
Likes
28
Points
135
sungura1980

sungura1980

JF-Expert Member
Joined May 20, 2013
1,912 28 135
^^
MziziMkavu unatafuta ugomvi wa wanawake wa JF..wanapenda kusifiwa tu hawapendi kuambiwa ukweli.
^^
Ngoja waje MziziMkavu,hawapendi hao kusemwa,kuna uzi ulikuwa humu unaongelea haya haya,tumeshambuliwaje!Lakini hata wakitushambulia,ukweli wameusikia,badilikeni jamani,mwanamke unakaa kwenye kochi kama vile umebandikwa hapo kwa super gluu!Kila kitu housegirl,endeleeni tu!Ndoa ni kusaidiana kati ya mume na mke sio kati ya mume na housegirl!
 
Last edited by a moderator:
N

Nndu wa Selote

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2012
Messages
356
Likes
65
Points
45
Age
54
N

Nndu wa Selote

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2012
356 65 45
Tena wengine wanakwenda kwenye extreme, housegirl anaingia hadi chumbani kwa mumewe kufanya usafi ikiwa ni pamoja na kutandika kitanda
 
kichomiz

kichomiz

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
13,707
Likes
4,127
Points
280
kichomiz

kichomiz

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
13,707 4,127 280

Kama nilivyo elezea kwenye kichwa cha habari hapo juu,
siku hizi watu wengi wamekuwa na mtindo wa kuajiri wasichana wa kazi (mahouse girl) ili kusaidia kazi za nyumbani.
Ndio hatukatai pengine mama mwenye nyumba anaweza kuwa anazidiwa na kazi,
Kama kufua nguo za mzee,watoto,kunyoosha, kuandaa chakula nk.
Lakini kuna wadada/wanawake wengine unakuta watu wako wawili yeye na mumewe,
eti nao wanaweka house girl sijui wa nini?eeh!!!
tena wengine sijui ni sifa eti anaajiri wawili kabisa kwa kazi zipi sasa?na wewe ufanye kazi gani?
Ya kupaka rangi kucha na kuchat kwenye mitandao? halafu bila aibu unasifia chakula alichoandaa house girl mbele ya mumeo.Na unaangalia tu house girl anamnawisha mikono mumeo na kumkausha na taulo,wewe upo tu kwenye kiti kama umegundishwa na super glue vile.
huyo jamaa yako akila chakula kitamu cha house girl, si atataka ale na kile cha usiku aone utam wake?
hapo ndipo timing zinapoanzia na ukizingatia mahouse girl walivyo na heshima,
baba akifika na kamzigo anapokelewa kwa mikono miwili na anapigiwa goti,
wakati huo we upo upo tu kama koti la mvua linasubiri masika.
Sijui ndio kusema hamuelewi mko pale kwa ajiri gani?na house girl akiboronga kidogo tu macho na sauti ya ukali inakutoka kama nini,
Hujui kwamba unapofanya hivyo unamkomaza house girl,hapo kwako ni sawa na chuoni kwake anachukua mafunzo ya maisha.
Mumeo akisifiwa kazini nguo zake zinang'aa atamkumbuka house girl,
akisifiwa kwamba ananawili atamkumbuka house girl,
akisifiwa kwamba viatu vyake vinang'aa atamkumbuka house girl,
Ndio si house girl ndio anaye fanikisha yote hayo?wakati wewe uko bizy ku up load picha fb?
mwisho wa siku unatemwa kama big G iliyo chacha,
halafu watu wanabaki kushangaa mbona jamaa kamuacha mwanamke mzuri vile halafu kabeba house girl?
kumbe ni janga la kitaifa hajui A wala B kifupi hajitambui,
Badilikeni nyie kina Eva ma house girl watawapiga bao ohooo!!!!!!
Mkuu vipi mbona ume copy na ku pest uzi wangu kulikoni?
 
maifu

maifu

Member
Joined
Nov 6, 2013
Messages
36
Likes
0
Points
0
maifu

maifu

Member
Joined Nov 6, 2013
36 0 0
Umesema kweli midada imezidi utakuta mwingine hadi nguo za ndani anapewa housgirl afue ndio ulivyofundishwa kwenu ingekuwa hivyo basi mama yako na bba yko wasingekuwa pamoja hadi leo
 
Forum statistics

Threads 1,251,600
Members 481,811
Posts 29,777,620