Karucee & Co wakimpa kichapo Kaizer

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,001
112,646
Halafu Karucee alivyo na tabia mbaya eti akaanza kumchomolea Kaizer vijisenti vyake alivyobakiza kwenye mfuko wa nyuma.

Ila Kaizer naona wakati anachomolewa mfuko wake wa nyuma na Karucee, alijitutumua na kurusha backfist iliyomkosa kosa Karucee.

Mshikaji kwa vile alikuwa keshapendeza tayari akaishia kula mweleka tu. You can't make this stuff up. See it for yourselves. Pure hilarity.

Last edited by a moderator:

Aisee...arif mbona hujasema mwisho.wa siku niliwapiga wote hadi polisi kashangaa?
 
Imfikie DEMBA kama ilivyo...
 
Last edited by a moderator:
Aisee...arif mbona hujasema mwisho.wa siku niliwapiga wote hadi polisi kashangaa?

Hahahaaaa arif mbona we ndo umechezea kichapo cha ukweee'eh bana.

Hivi Karucee aliweza kukomba mkwanja wowote kutoka kwenye hiyo back pocket kweli?

Ila ile back fist uliirusha na bad intentions aisee. Maana ingempata lazima angeenda trauma unit.
 
Halafu Karucee alivyo na tabia mbaya eti akaanza kumchomolea Kaizer vijisenti vyake alivyobakiza kwenye mfuko wa nyuma.

Ila Kaizer naona wakati anachomolewa mfuko wake wa nyuma na Karucee, alijitutumua na kurusha backfist iliyomkosa kosa Karucee.

Mshikaji kwa vile alikuwa keshapendeza tayari akaishia kula mweleka tu. You can't make this stuff up. See it for yourselves. Pure hilarity.

Imfikie DEMBA kama ilivyo....
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa arif mbona we ndo umechezea kichapo cha ukweee'eh bana.

Hivi Karucee aliweza kukomba mkwanja wowote kutoka kwenye hiyo back pocket kweli?

Ila ile back fist uliirusha na bad intentions aisee. Maana ingempata lazima angeenda trauma unit.
Nyani Ngabu hapana chezea my hubby aliwasambaratisha wote mbona, sema sijui ulikuwa umeshaondoka?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa arif mbona we ndo umechezea kichapo cha ukweee'eh bana.

Hivi Karucee aliweza kukomba mkwanja wowote kutoka kwenye hiyo back pocket kweli?

Ila ile back fist uliirusha na bad intentions aisee. Maana ingempata lazima angeenda trauma unit.

Mkwanja ulikuwa umeisha tayari. Karucee alikuwa ananilazimisha nikalale kwake nikakataa.....nina mbabes wa ukwer DEMBA alikuwa ananisubiri bana.

Ana bahati polisi angekuja ameambatana na watu wa first aid. JKT imenisaidia apo
 
Last edited by a moderator:
Ee bwana Kaizer aliniambia hana mke. Na mimi nikaona bonge la seniour bachelor kama KIKUNGU. Kama vipi twende ka one night. Nikamwambia poaaaa. Basi mi nikamwambia best wangu sakapal tangulia na whip yangu mie nitakuja asubuhi. Nikabaki na Howt Lady na Heaven on Earth. Si akaanza kum caress Howt Lady? Tukaona ishakuwa soo. Tukamtaze fasta na nikachomoa mkwanja tukaishia zetu.
 
Na utakuja tuu kwangu. Subiri.
 
hahahhaaaaa Karucee bana....
Kaizer kujifanya senior bachelor kumbe ana mke na watoto LOL
 
Last edited by a moderator:
Ee bwana Kaizer aliniambia hana mke. Na mimi nikaona bonge la seniour bachelor kama KIKUNGU. Kama vipi twende ka one night. Nikamwambia poaaaa. Basi mi nikamwambia best wangu sakapal tangulia na whip yangu mie nitakuja asubuhi. Nikabaki na Howt Lady na Heaven on Earth. Si akaanza kum caress Howt Lady? Tukaona ishakuwa soo. Tukamtaze fasta na nikachomoa mkwanja tukaishia zetu.

hahahaha thank you, but no thanks, si ndio mkaona dizaini mnifanyizie nikawazidi maarifa

by the way subiri kidooogo kuna RB polisi
 
:boink::msela::boxing:
eee bana Nyani Ngabu njoo umwone Karucee anavojiapiza apa LOL

unamfahamu DEMBA lakini.......:A S 39:
Aisee niko vizuri.I fly like a butterfly,sting like a bee:boxing: nina hii technology hapana chezeyaaa:laser:yaani kwenye hii:fencing: utaniskia tu hii haaa.Hii ninayo pia:whip:nina bonge la gobore:boink: mpaka atasema mwenyewe :peace:
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom