Sifi tena kwa ngoma mungu mkubwa.......

harakat

harakat

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
2,903
Points
2,000
harakat

harakat

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
2,903 2,000
Ilkua mwaka 2003 wakati nakaa kigogo mwisho nilipofaulu nikapangwa BMW sasa kuna jamaa yangu alikua kwa sasa yuko kwa malkia kaka yake alikua amemwachia nyumba mburahati yeye alikua anarisiti huku anaendelea na masomo ya five na six tegeta .Huyu jamaa akaniomba kwa kuwa alikua anasoma HGL na mm nilikua nasoma hiyo hiyo tuwe tunasomea kule mburahati kwa hiyo mm nikawa naenda kule kupiga buku na jamaa kimtindo .Kule nikakutana na motto mmoja wa kihaya kwa sasa ni marehemu apumzike kwa amani huko aliko.Huyu binti alikua binti wa pekee kea mama yake aliyekua anafanya kazi Bank akanizimikia kamanda nikawa napiga mzigo wakati huo yeye yuko kidato cha tatu Zanaki mi niko kidato cha tano pale Benja kama kwa kijana ile sehemu ya kusome ikawa sehemu ya kupigia mzigo.Nikawa napiga mzigo ule taratibu na kwa ufundi sana yaani na nilimuamini mno Yule binti kadri siku zilivyzidi kwenda tukawa karibu mno na sikuweza tena kutumia kinga kulia mzigo.
Huyu jamaa yangu akafanya mitihani yake ya kidato cha Nne aliyokuwa anarisit wakati tunaingia six akaniambia alifeli kwa hiyo kaka yake ameamua amchukua kwa malkia hivyo yeye akaondoka zake.MM nikabaki napiga ule mzigo gest maana sikuweza kumpeleka home ingekua ngumu kulitolea maelezo kwa mzee na ni picha mbaya kwa mdogo wangu,ila alikua anafika home pale inapolazimu.
Nilipomaliza six nikala tempo sehemu wakati nikiwa nasubiri tokeo nikawa naendelea kula mzigo kwa kuwa nilikua napiga tempo basi bata ikawa kwa kwenda mbele.Huyu binti alipoona vile naye akazidi kujisogeza na mm nikazidi kumuamini na kuwa nae karibu zaidi.
Siku moja nilitoka ofcn nikawa nimeenda tabata kwa kumuona rafiki yangu Fulani ila nilikua na mihadi ya kukutana na huyu binti kwa ajili ya kula mzigo maana ndio ilikua habari yetu kubwa.My interest kwake sasa nikachelewa tabata Yule binti akatimba maskani akakutana na dogo pamoja na kwamba tulikua na mawasiliano ila yeye hakuamini ilibidi aende home kuhakikisha.Dogo akamwambia huyu jamaa hayupo Yule binti akaaga dogo akamsindikiza ila alipokua anaelekea sio njia ya nyumbani kwao na mara kwa mara alikua anaongea na simu yake kana kwamba kuna mtu mwingine alikua na miadi naye.
Dogo aliporudi anafika home na mm nilikua nishafika akanipa story nzima na mm nikamwambia asitie shaka tutajua kila kitu .Wakati huo mm nafanya michakato ya chuo Arusha baada ya tokeo kutoka na kuwa mazuri.Na ilikua imebaki kama wiki tu niondoke tukakutana na Yule binti kwa gesti Fulani kigogo mwembejando kama kawa nikawa napeleka gambe huku nakula mzigo mpaka mida ya saa sita ndio nikamsindikiza stendi kigogo mwisho apande daladala ya mburahati. Nae wakati huo alishamaliza shule kuna kakozi ka compu alikua anapiga town kwa hiyo alikua na kanote book Fulani na kapochi na hivyo vitu nilikua nimevishika mm.Wakati tupo stendi pale akaja kijana mmoja akaanza kuongea nae ikabidi mm niwe mkali ukichanganya na gambe lililokua kichwani Yule dogo akanywea akaingia kwa bar Fulani ilikua opposite pale akaja na jamaa mwingine .Huyu jamaa na mm tunafahamiana kwa hiyo akanisalimia wakati huo Yule binti akakimbia na mm nikatupa vile vitu vyake wale jamaa wakamkimbiza wakashindwa kumpata wakarudi kwangu.yule jamaa ambaye inaoanekana alikua na mahusiano na huyu binti alimpiga marufuku Yule binti asiende kwake mbele yangu kabla hajakimbia.Yule jamaa yangu akawa ananiambia kwamba Yule demu alikua anatuchanganya kitu ambacho mm nilishakijua toka ile siku ambayo dogo alimsindikiza uelekeo wake ulikua pande za huko kwa huyu jamaa.
Baada ya pale mm nikaondoka na kutua Arusha ingawaje Yule demu alikua anaomba msamaha ila nikapuuzia ,Nilipofika arusha bado alikua akiendelea kupiga simu na hata simu yangu ilivyopotea aliomba namba ya Anti yangu ambaye nilikua namtembelea wikiend na alikua anasumbua kutaka msamaha hiyo ilikua 2006 mwanzoni.Kadri muda ulivyozidi kwenda Yule binti akasahau na kukuwa hakuna mawasiliano tena .Kwamba hata mm watu niliokua nawasiliana nao nikapoteza mawasiliano nao .Kumbe Yule binti alaijaumwa sana na mwaka 2008 mwanzoni alifarikina inasadikiwa ni ngoma bahata nzuri ni kwamba mm nilishapima mara nyingi na nilikua na binti mmoja ambaye ni nesi na alikua anakuja na vipimo full kupimana tukiwa room.
MPAKA SASA NAAMINI KWAMBA NGOMA HAITANIUA TENA MAANA MUNGU ALINISAVE KWA HII YA KUJA ARUSHA VINGINEVYO NINGEMSAMEHE YULE BINTI NA KUENDELEA NA MZIGO.
 
Domhome

Domhome

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2010
Messages
2,253
Points
2,000
Domhome

Domhome

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2010
2,253 2,000
harakat, Shida kubwa ya mahusiano ni kujifanya mnaaminiana bila kupima, kisa tu eti mshafanyana zaidi ya mara tatu au nne.....Wengi wanapima kwa Macho.....tena wengine wakiona ni denti wanapiga kavukavu.....
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,289
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,289 2,000
Thats interesting...hii inaonyesha risks ambazo vinaja wanakutana nazo.Bahati mbaya sasa ni watoto pekee ambao wengine walipatikana kwa daktari,kwa mganga, kwa maombi ..ni pigo sana kwa wazazi.

Pia ujue hata km umekwenda kavu,jitahidi muwahi hospital wawili ili km kuna issue basi mpewe kinga km mmoja wenu ana shida.
 
U

umla

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Messages
1,174
Points
1,250
U

umla

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2012
1,174 1,250
Acha ubwege wewe inasemekana alikufa kwa ngoma au ulimpima!!!
 
M

magohe

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Messages
728
Points
195
M

magohe

JF-Expert Member
Joined May 21, 2011
728 195
Ujana maji ya Moto...........
 
harakat

harakat

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
2,903
Points
2,000
harakat

harakat

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
2,903 2,000
kuna hatari kubwa sana na ieleweke kwaba ukimwi hauuwi bali magonjwa nyemelezi ndio humaliza sasa ni ngumu vile vile ndugu kusema ukweli
 
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
3,235
Points
1,195
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined Sep 1, 2011
3,235 1,195
kuna hatari kubwa sana na ieleweke kwaba ukimwi hauuwi bali magonjwa nyemelezi ndio humaliza sasa ni ngumu vile vile ndugu kusema ukweli
Mkuu, jaribu ku-summarize habari yako nimeshindwa kuisoma yote, Ulikuwa unataka kusemaje hasa kwa kifupi?
 
jMali

jMali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Messages
8,348
Points
2,000
jMali

jMali

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2010
8,348 2,000
kwa hiyo ilikuwa lazima saaaaana kutuambia alikuwa mhaya? na wewe uliyegeuzwa b.w.e.ge mbona kabila lako hutaji?
 
HUNIJUI

HUNIJUI

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Messages
1,441
Points
1,195
HUNIJUI

HUNIJUI

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2012
1,441 1,195
Ilkua mwaka 2003 wakati nakaa kigogo mwisho nilipofaulu nikapangwa BMW sasa kuna jamaa yangu alikua kwa sasa yuko kwa malkia kaka yake alikua amemwachia nyumba mburahati yeye alikua anarisiti huku anaendelea na masomo ya five na six tegeta .Huyu jamaa akaniomba kwa kuwa alikua anasoma HGL na mm nilikua nasoma hiyo hiyo tuwe tunasomea kule mburahati kwa hiyo mm nikawa naenda kule kupiga buku na jamaa kimtindo .Kule nikakutana na motto mmoja wa kihaya kwa sasa ni marehemu apumzike kwa amani huko aliko.Huyu binti alikua binti wa pekee kea mama yake aliyekua anafanya kazi Bank akanizimikia kamanda nikawa napiga mzigo wakati huo yeye yuko kidato cha tatu Zanaki mi niko kidato cha tano pale Benja kama kwa kijana ile sehemu ya kusome ikawa sehemu ya kupigia mzigo.Nikawa napiga mzigo ule taratibu na kwa ufundi sana yaani na nilimuamini mno Yule binti kadri siku zilivyzidi kwenda tukawa karibu mno na sikuweza tena kutumia kinga kulia mzigo.
Huyu jamaa yangu akafanya mitihani yake ya kidato cha Nne aliyokuwa anarisit wakati tunaingia six akaniambia alifeli kwa hiyo kaka yake ameamua amchukua kwa malkia hivyo yeye akaondoka zake.MM nikabaki napiga ule mzigo gest maana sikuweza kumpeleka home ingekua ngumu kulitolea maelezo kwa mzee na ni picha mbaya kwa mdogo wangu,ila alikua anafika home pale inapolazimu.
Nilipomaliza six nikala tempo sehemu wakati nikiwa nasubiri tokeo nikawa naendelea kula mzigo kwa kuwa nilikua napiga tempo basi bata ikawa kwa kwenda mbele.Huyu binti alipoona vile naye akazidi kujisogeza na mm nikazidi kumuamini na kuwa nae karibu zaidi.
Siku moja nilitoka ofcn nikawa nimeenda tabata kwa kumuona rafiki yangu Fulani ila nilikua na mihadi ya kukutana na huyu binti kwa ajili ya kula mzigo maana ndio ilikua habari yetu kubwa.My interest kwake sasa nikachelewa tabata Yule binti akatimba maskani akakutana na dogo pamoja na kwamba tulikua na mawasiliano ila yeye hakuamini ilibidi aende home kuhakikisha.Dogo akamwambia huyu jamaa hayupo Yule binti akaaga dogo akamsindikiza ila alipokua anaelekea sio njia ya nyumbani kwao na mara kwa mara alikua anaongea na simu yake kana kwamba kuna mtu mwingine alikua na miadi naye.
Dogo aliporudi anafika home na mm nilikua nishafika akanipa story nzima na mm nikamwambia asitie shaka tutajua kila kitu .Wakati huo mm nafanya michakato ya chuo Arusha baada ya tokeo kutoka na kuwa mazuri.Na ilikua imebaki kama wiki tu niondoke tukakutana na Yule binti kwa gesti Fulani kigogo mwembejando kama kawa nikawa napeleka gambe huku nakula mzigo mpaka mida ya saa sita ndio nikamsindikiza stendi kigogo mwisho apande daladala ya mburahati. Nae wakati huo alishamaliza shule kuna kakozi ka compu alikua anapiga town kwa hiyo alikua na kanote book Fulani na kapochi na hivyo vitu nilikua nimevishika mm.Wakati tupo stendi pale akaja kijana mmoja akaanza kuongea nae ikabidi mm niwe mkali ukichanganya na gambe lililokua kichwani Yule dogo akanywea akaingia kwa bar Fulani ilikua opposite pale akaja na jamaa mwingine .Huyu jamaa na mm tunafahamiana kwa hiyo akanisalimia wakati huo Yule binti akakimbia na mm nikatupa vile vitu vyake wale jamaa wakamkimbiza wakashindwa kumpata wakarudi kwangu.yule jamaa ambaye inaoanekana alikua na mahusiano na huyu binti alimpiga marufuku Yule binti asiende kwake mbele yangu kabla hajakimbia.Yule jamaa yangu akawa ananiambia kwamba Yule demu alikua anatuchanganya kitu ambacho mm nilishakijua toka ile siku ambayo dogo alimsindikiza uelekeo wake ulikua pande za huko kwa huyu jamaa.
Baada ya pale mm nikaondoka na kutua Arusha ingawaje Yule demu alikua anaomba msamaha ila nikapuuzia ,Nilipofika arusha bado alikua akiendelea kupiga simu na hata simu yangu ilivyopotea aliomba namba ya Anti yangu ambaye nilikua namtembelea wikiend na alikua anasumbua kutaka msamaha hiyo ilikua 2006 mwanzoni.Kadri muda ulivyozidi kwenda Yule binti akasahau na kukuwa hakuna mawasiliano tena .Kwamba hata mm watu niliokua nawasiliana nao nikapoteza mawasiliano nao .Kumbe Yule binti alaijaumwa sana na mwaka 2008 mwanzoni alifarikina inasadikiwa ni ngoma bahata nzuri ni kwamba mm nilishapima mara nyingi na nilikua na binti mmoja ambaye ni nesi na alikua anakuja na vipimo full kupimana tukiwa room.
MPAKA SASA NAAMINI KWAMBA NGOMA HAITANIUA TENA MAANA MUNGU ALINISAVE KWA HII YA KUJA ARUSHA VINGINEVYO NINGEMSAMEHE YULE BINTI NA KUENDELEA NA MZIGO.
Mkipona mnasema, ila mkikutwa nao hamleti story hizi humu
 
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
29,482
Points
2,000
Mamndenyi

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
29,482 2,000
Pole hiyo ndo kuponea chupu chupu. Wakati mwingine uwe makini.
 
Sunshow

Sunshow

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Messages
1,130
Points
1,250
Sunshow

Sunshow

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2011
1,130 1,250
Leo nimepata misamiati mipya kama vile kutimba, tokeo na gambe. Dah vijana mna kazi!
 
Justin Dimee

Justin Dimee

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Messages
1,146
Points
1,225
Justin Dimee

Justin Dimee

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2012
1,146 1,225
Too long to read!
Nakilaa baadaa ya sentesi ni kulaa mzigoo duuh ndefuu kamaa gazeti la majiraa kaaah watoto wa sekondari banaa uta wajua tuu? Navijistor vyaoo ivi kaah?
 
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Messages
7,142
Points
1,225
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2011
7,142 1,225
Usijidanganye kuwa hutopata tena Ukimwi kama maisha yako yataendelea kwa style ya 'Kula mzigo kavu kavu'.
Achana na kupimana na huyo nesi wako mkiwa mmekumbatiana chumbani,nenda kwenye kituo cha Huduma Rafiki kwa vijana kwa ajili ya kupima na kupata ushauri nasaha na elimu sahihi ya Ukimwi.
Kila la kheri kijana.
 
harakat

harakat

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
2,903
Points
2,000
harakat

harakat

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
2,903 2,000
maisha ni zaidi unavyoyajua hapa najaribu kuonyesha uwepo wa mungu kwamba kama siyo mipango yake hata Zuma angekua nao ala alipiga mzigo akaoga kitu kwisha
 
Forum statistics

Threads 1,326,865
Members 509,632
Posts 32,237,779
Top