Njoo uingalie kama imekaa vizuri!

KYALOSANGI

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Messages
3,065
Points
2,000

KYALOSANGI

JF-Expert Member
Joined Jan 21, 2011
3,065 2,000
Kuishi kwingi kuona mengi!
Jana mama watoto aliniacha kwa dk 30 dukani kwake baadaya kujisikia vibaya!
Wakati namsubiri dada aje aendelee na kazi pale dukani!
Aliingia dada wa makamo kama miaka 40 au mid 30s' Akanunua gauni afu akaniuliza kama kuna chupi nikwamwonosha akachukua size yake !Akaniuliza kuna sidiria nikamuonesha akaomba akajaribu ,nikamwonesha chumba ....akiwa huko nikasikia akiniita eti nikaangalie kama imekaa vizuri au la!
Jamani kazi gani hii! Nilipigwa na butwaa !Lakini nikaone pengine ni mliberali mambo leo hajali nikaingia ,nikwamwambia vizuri !Akageuka nyuma kunionyesha mgogo eti niivute !nikauvuta akasema ahsante .
Akavaa blauzi yake akalipa na kuondoka !
Mh biashara ngumu sana!
 

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
132,213
Points
2,000

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
132,213 2,000
Ulifikiri anakutaka? Au ulifikiri atakuomba diskaunti na namba ya simu? Sipati picha alivyolipa na kuondoka bila kukwambia lolote zaidi...pole
 

Emma Lukosi

Verified Member
Joined
Jul 22, 2009
Messages
929
Points
195

Emma Lukosi

Verified Member
Joined Jul 22, 2009
929 195
Wewe uliyeleta hii mada sidhani kama umeoa, namna unavyoandika ni kama teenager fulani tu hivi
Mkuu 14 years na kuendelea anaruhusiwa kuoa au kuolewa.
Btw an 18 year old teenager ni mtu mzima ambaye hajafika 20s.
kwani umeambiwa hili ni jukwaa la watu wazima?.
 

Forum statistics

Threads 1,392,169
Members 528,552
Posts 34,100,495
Top