Jf members woooote, mnakaribishwa!!!!

S

STIDE

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
998
Likes
11
Points
35
Age
38
S

STIDE

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2011
998 11 35
Saalam wakuu.

Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunifikisha pale nilipokuwa napatumania kwa mda mrefu!!

Nachukua nafasi hii kuwakaribisheni nyote wana jukwaa hili pamoja na uongozi wote wa JF katika ARUSI yangu itakayofanyika nyumbani kwetu Bukoba tarehe 20-Dec-2013.

Kwa watakaokuwa tiyari kuhudhuria mnaweza kuni-PM (kwa lengo jema) kwa ufafanuzi zaidi.

KARIBUNI SANA!!!

STIDE.
 
Tutor B

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Messages
8,630
Likes
4,493
Points
280
Tutor B

Tutor B

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2011
8,630 4,493 280
Saalam wakuu.

Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunifikisha pale nilipokuwa napatumania kwa mda mrefu!!

Nachukua nafasi hii kuwakaribisheni nyote wana jukwaa hili pamoja na uongozi wote wa JF katika ARUSI yangu itakayofanyika nyumbani kwetu Bukoba tarehe 20-Dec-2013.

Kwa watakaokuwa tiyari kuhudhuria mnaweza kuni-PM (kwa lengo jema) kwa ufafanuzi zaidi.

KARIBUNI SANA!!!

STIDE.
Ukumbi upi? na je tunachangia kiasi gani kufanikisha harusi yako?
 
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Messages
8,865
Likes
405
Points
180
gorgeousmimi

gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2010
8,865 405 180
Ahsante sana na kila la kheri...Nakutakia ndoa yenye baraka tele!!
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
29,918
Likes
15,398
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
29,918 15,398 280
hAJAOMBA MCHANGO AMETOA MWALIKO!!
 
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Messages
7,142
Likes
61
Points
145
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2011
7,142 61 145
Hongera mkuu.
Ndoa yako ikawe ya furaha na amani tele!!!!
Kila la kheir
 
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,231
Likes
351
Points
180
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,231 351 180
Blaki Womani

Blaki Womani

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
10,235
Likes
7,321
Points
280
Blaki Womani

Blaki Womani

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
10,235 7,321 280
Jameni sio lazima aeleze kila kitu, changanyeni na zenu!
Harusi ni gharama, shikeni hata 20K, itampunguzia ukame wa siku japo mbili!
wengine hawana ukame.......ametoa mwaliko kama anahitaji mchango anakuwa wazi uanasubiri achanganye na zake thubutu.......siku hizi hata zawadi maharusi wanapendekeza kuendana na fedha iliyopo sio unakwenda kununua kitu ambacho tayari maharusi wanavyoo
 
HUNIJUI

HUNIJUI

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Messages
1,440
Likes
12
Points
135
HUNIJUI

HUNIJUI

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2012
1,440 12 135
Saalam wakuu.

Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunifikisha pale nilipokuwa napatumania kwa mda mrefu!!

Nachukua nafasi hii kuwakaribisheni nyote wana jukwaa hili pamoja na uongozi wote wa JF katika ARUSI yangu itakayofanyika nyumbani kwetu Bukoba tarehe 20-Dec-2013.

Kwa watakaokuwa tiyari kuhudhuria mnaweza kuni-PM (kwa lengo jema) kwa ufafanuzi zaidi.

KARIBUNI SANA!!!

STIDE.
Kaka hiyo red hapo juu sijaelewa. We ni muhamiaji haramu? Maana huko mpakani cna imani nao sana
 
Mashaxizo

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
6,723
Likes
109
Points
145
Mashaxizo

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2013
6,723 109 145
Duh mwekundu na Mashaxizo, kundi letu linazidi kupungua!!!!:frusty::A S 39:
Hahahahaaa!
Kaka itabidi tumtakie tu safari njema!!!
...
Si wengine magari yetu mabovu hayahimili safari ndefu!!!!
 
Last edited by a moderator:
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Messages
18,153
Likes
1,594
Points
280
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2012
18,153 1,594 280
Hongera mkuu!!!
 
mayenga

mayenga

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2009
Messages
3,932
Likes
723
Points
280
mayenga

mayenga

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2009
3,932 723 280
Waitu mahyo.Ekitikililwa ni kichekaki?
 
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Messages
19,936
Likes
10,928
Points
280
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2008
19,936 10,928 280
dah mwalimu wangu hadi uoe!!

Duh, mbona safar ndefu hiyo?? mimi kuoa?????????????????? (asipaone shemeji yako...)

Hahahahaaa!
Kaka itabidi tumtakie tu safari njema!!!
...
Si wengine magari yetu mabovu hayahimili safari ndefu!!!!
kweli mkuu, ni ngumu. nmeona umeandika pahali una kifua kidogo...lol.
 
Forum statistics

Threads 1,251,137
Members 481,585
Posts 29,758,943