Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

habari wa ndugu nina mdogo wangu nyumbani ni wa kiume (30yrs) kuna tabia ya tofauti nimeiona nayo ni kupewa vyakula na mazawadi na mke wa jirani yangu wakati mwingine anaenda huko na kuongea yani...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Za asubuhi, Hivi akina dada/wamama waliomo humu jamvini mna matatizo gani? Naombeni niwaulize hilo kwanza then nitaendelea kufafanua kwanini nimeuliza swali hilo, Hivi kama mtu ana jambo la msingi...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
Wanawake mlioolewa acheni hii tabia isiyo ya kistaraabu ya kudokoa hela kwenye mifuko ya suruali na mashati ya waume zenu,,,haiwezekani unadokoa mpaka elfu kumi ,,ukiulizwa unasema eti aah...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Mimi nipo Arusha kikazi, juzi nilikuwa napata lunch katika mgahawa mmoja upo maeneo ya CLOCK TOWER.Tutakawa tumekaa meza moja na kijana mmoja huku tunaendelea kupata menu,ghafla akatokea kijana...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Baada ya kuonana bila kujikinga kwa miezi 2,yeye akaamua tukaangalie afya zetu.Majibu yakaja ye ndo yuko POSSITIVE mimi NEGATIVE.Hakuweza amini na akasema kama nikimuacha atajiua kwani hakuna...
1 Reactions
73 Replies
7K Views
mimi kijna mwenye umri 22-25 natafuta mwanamke yoyote yule mwenye sifa zifuatazo Elimu drs la 7 nakuendele mrefu kiasi ,mnene kiasi(asiwe mwembamba) anyejua mapenzi (sio lazma) ,mchesi ,mwenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanaume kama hatuna sababu za msingi za kuachana na kuoa mke mdogo tuwe tunaacha au Tuwe makini sana! Sijajua ni umakini wa aina gani!! Baba yangu mzazi alimuoa mama yangu miaka 40 iliyopita...
3 Reactions
5 Replies
14K Views
Wanaume jamani badilikeni laa sivyo mtajiua kila siku na kuuwa wenzenu.aslimia kubwa ya wanaume hawajui mapenzi. Wao wanadhani ili wapendwe wawe na pesa tu! Mnakosea, mwanamke ali akupende...
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Wana jamvi naomba msaada wenu katika jambo hili;Mimi mwaka 2009 nilifunga ndoa na binti mmoja ambae nilikutana nae kazin na baada ya kama miez kadhaa tuliamua kufunga ndoa kanisani lakin wakati...
0 Reactions
102 Replies
14K Views
Hi, I need somebody to love me. Someone who would lay her love to die for me. Female above 25 years. TEXT ME 0789803484
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Hello wana JF. I have never posted anything on this forum ila leo mwenzenu yamenikuta! I got into a relationship with this guy about a couple of months ago. He is loving, caring...
9 Reactions
325 Replies
23K Views
Pindi wakiwa wamewakosea wazazi wao, ni vigumu sana kuwapigia magoti na kuwaomba msamaha ili wasamehewe. Cha ajabu ni wepesi sana kuwapigia magoti waume zao, mabwana zao. Napata tabu sana...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakubwa habari zenu. Mimi ni mtanzania halisi ambaye huwa nina ndoto ya kuwa na mke kutoka israeli. Kama kuna mtu ambaye anafahamiana na binti wa kiisraeli tafadhali nitumie contact zake
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nimepoteza muda wangu mwingi kukufuatilia wewe, i lost my money too and still unasema kuwa hunitaki..... Hivi unajiskiaje labda. Hujui kama nyie mpo wengi kuliko sisi?... I will make one approach...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Mahusiano ni jambo linalopelekea mtu kuwa mwema au kuwa na roho mbaya. Katika mizunguko yangu juzi nilikuwa sehemu nikakutana na dada mmoja wa makamo mwenye watoto 3(aliniambia). Kwa mtizamo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimetafakari inakuwaje Mandela alipotoka jela hakumsamehe kato mkewe( muafrica mwenzake) na akampa talaka eti kwa kua alisaliti ndoa! lakini aliwasamehe waliomfunga maisha..... Hivi msaliti wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nataka kuoa mke wa kihaya, sasa tatizo linakuja cjui ugen?watu wa huko wananiambia mwanamke wa kihaya bila kumshika Katelero anakuwa haridhiki, katelero ni nini,naomba mnisaidie nisije nikakosa...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari wana MMU.Kwanza kabisa nafarijika sana kuwa mwanajukwaa hili...na huwa napata mengi sana kwa njia ya usomaji wa threads na comments...kiufupi jamii forums unifanya nismile most of the tym...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Mwanafunzi wa SAUT jana linahifadhiwa amefanyiwa operation baada ya kunywa DAWA kali inayodhaniwa ni ya kurefusha Uume wake, baada ya kutumia dawa hiyo ndipo mpenzi wake hakutokea na kwa maelezo...
6 Reactions
76 Replies
9K Views
katika maisha yangu yote sijawahi kupata mtoto wakike anae nipenda nakunidhamini huwa najiulizaga maswali siyapatiagi majibu au wangu wa kunipenda haja zariwa maana nikikumbuka hapo mwanzo nilisha...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…