Mwanamke mwenye HIV-Positive aukumiwa kwenda jela baada ya kumnyonyesha mtoto wa jirani yake.


kwamtoro

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Messages
4,818
Likes
785
Points
280
kwamtoro

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2010
4,818 785 280
Mwanamke wa kizibwamwe. Miaka 39 Annie Mpariwa ambaye amemnyonyesha mtoto wa jirani yake bila ruhusa amefungwa miaka 2 jela kwa kosa la kutaka kumwambukiza mtoto wa jirani yake HIV+. Kesi Imesomwa kwa muda wa miezi mitano baada ya mtoto kupimwa mara mbili na kukutwa HIV Negative.

Mpariwa amehukumiwa wiki iliyopita, endapo mtoto angekutwa positive hukumu yake ingekuwa kubwa sana. Mama wa mtoto wa miezi 14 anasema, alimuona mtoto wake akinyonyeshwa na jirani yake ilikuwa mbaya sana kwake.

Amesema jirani yake alimbeba mtoto wake kwa haraka pindi mtoto akiwa anacheza njee na kumficha chumbani kwake. Baada ya kumtafuta mtoto kwa muda kidogo, nilienda kugonga katika chumba cha Mpariwa na sukupata kujibiwa. Nikaamua kuchungulia kupitia upenyo wa dirishani, nikamuona Mpariwa akimnyonyesha mtoto wangu.

Nilishikwa na mshutuko sana . Baada kuona maziwa katika mdomo wa mtoto wangu nilikaribia kuzimia.

Hii inasikitisha sana. Kama wewe ndiye mzazi wa mtoto, nini ungefanya?

Source

TrendySturvs Blog!: Photo: HIV Positive Woman Arrested For Breastfeeding Neighbour's Baby 
happiness win

happiness win

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
2,476
Likes
43
Points
0
happiness win

happiness win

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
2,476 43 0
Hujambo kwamtoro? Unajua kuna mambo mengine ambayo kabla hujafanyiwa inakuwa ngumu kusema ungefanyiwa ungefanyaje! huo ni mtihani huwezi kuandaa majibu hadi uwe ndani ya mtihani. HAPPY CHRISTMAS!
 
Last edited by a moderator:
kwamtoro

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Messages
4,818
Likes
785
Points
280
kwamtoro

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2010
4,818 785 280
Hujambo kwamtoro? Unajua kuna mambo mengine ambayo kabla hujafanyiwa inakuwa ngumu kusema ungefanyiwa ungefanyaje! huo ni mtihani huwezi kuandaa majibu hadi uwe ndani ya mtihani. HAPPY CHRISTMAS!
Kweli kabisa, mara nyingine binadamu unaweza kuwa auna roho ya kikatili, punde vitu kama hivi vikakufanya uzaliwe upya na roho ya kinyama.

Thankx for Christmas wish.
Merry Christmas Fill up your life with love, compassion, tolerance, peace and happiness.
Merry Christmas! my...... Happiness win 
Last edited by a moderator:
T

theoka

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Messages
380
Likes
14
Points
0
T

theoka

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2013
380 14 0
thanks Jesus for your mercy on your angel,glory to you lord
 
Jaber Job

Jaber Job

Senior Member
Joined
Oct 2, 2013
Messages
122
Likes
6
Points
0
Jaber Job

Jaber Job

Senior Member
Joined Oct 2, 2013
122 6 0
Hiyo ni roho ya kishetani...maombi ni muhimu! Yani ni kama vile mtu anavyochukua maamuzi ya kujiua...ndio
Hicho kitendo cha huyo mama!
 
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Messages
20,845
Likes
10,015
Points
280
mwekundu

mwekundu

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2013
20,845 10,015 280
anastahili adhabu kali sana tena zaidi ya hiyo aliyopewa
 
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Messages
7,142
Likes
60
Points
145
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2011
7,142 60 145
Cha kushukuru ni huyo mtoto hajaathirika tu ingawa mama yake pia ametumia busara kuviachia vyombo vya sheria.
 

Forum statistics

Threads 1,236,176
Members 475,020
Posts 29,248,771