Hivi inakuwaje??

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,329
1,500
Hivi mda mwingine akili zinahama au inakuwaje? Kila mtu ni shurti ajilinde yeye mwenyewe. Hakuna mtu ambaye anatafuta maisha au anajilinda ili fulani amsifie.

Utakuta mtu analalamika fulani anafanya hivi ili kuniangamiza. Kwani huwezi kutumia akili yako kujinasua katika huo mtego? Mara utasikia huyu mwanafunzi atanipeleka magereza, mara huyu mume wa mtu atanifanya niwe kilema, mara huyu dada ataniambukiza ukimwi. Hivi huwa akili na ufahamu unahama kama maji ya bahari? Nimeshindwa kuelewa wanajamvi
 

Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,842
2,000
Muda mwingine mazingira yanabana hata akili inastak,kwa mfano ukiona mke wa mtu anakunga'ang'ania na yuko tayari kufanya chochote ili awe na ww,na unavyojua mwanamke akiamua kitu mwanaume hana ujanja,au ni student wa kike na unajua kabisa hapa lazima jela inakuita,na wanafanya hivyo kwa kuto kujua ama kujua yatakayo kukuta mwisho wa siku unaishia kulalamika tu ila kuna wengine wanayataka wenyewe!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom