UTAYAPENDA MAISHA
Member
- Nov 18, 2013
- 18
- 0
Salama wakuu.... jamani lazima kuhama ndio sikukuu or ndio kufurahi ? mimi niko kariakoo karibuni sana ndani ya mita 300 utachagua kila kitu ukipendacho chakula ? hotel ? accomodation ? vinywaji ? n.k.