Wana jamvi. Mara ya mwisho kufiwa na ndugu, rafiki, jirani kutokana na gonjwa la ukimwi ni mwaka 2003.
Tofauti na miaka ya nyuma ambapo tulipoteza ndugu na marafiki wengi, hali sasa imekua tofauti.
Kazini toka mwaka 2003 hadi 2013 tumeondokewa na watumishi 4 ambao waliathirika toka miaka ya 90. Kwa sasa ambao wanatumia dawa na kupewa pesa ya lishe kama policy ya kampuni yetu inavyoelekeza ni 7 tu kati ya wsfanyakazi 300. Na hao saba ni wa muda. Tangu mwaka 2009 hajaongezeka mtu mpya. Lakini watu wana gegedana kwa kwenda mbele.
Hivyo naweza kusema kwamba serikali na mashirika yasiyo ya serikali yamefanya kazi nzuri na huenda hadi 2025 tunaweza kuwa na jamii ambayo haina ukimwi. Tuendelee kutimiza wajibu wetu