Napenda kutoa pole....

Napenda kutoa pole....

miku

Senior Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
148
Reaction score
190
Pole zangu ziwafikie wale mademu waliahidiwa kuwa mwaka huu wataolewa,nataka kuwakumbusha tu kuwa mwaka unafikia ukingoni!pia salamu zangu ziwafikie nyie mademu mliolazimisha kuvalishwa pete km sharti la kuliwa uroda,uroda umeliwa na pete yako ya kichina umebaki nayo!Pole na salamu zangu pia ziwafikie vijana waliopata kazi benki na kukimbilia kukopa gari kwa bei za kutupa ili mademu mtaani wakukome,xaxa mmekuwa wezi kwny account za watu ili mpate hela za kuweka mafuta!Pole zangu ziwafikie vijana wenzangu walikuwa wakiwadanganya mademu zao chuo 'Baby nikimaliza tu hpa,nakutana na mshahara wa laki saba nakuja kwenu kujitambulisha!poleni sana dada zangu kazi hakuna na ulitumika vya kutosha!
 
Ha ha ha ha ha ha mbavu zangu mie.. Ila pia poleni nyie wakaka mliodanganywa mpo peke enu cku ya mkesha wa mwaka mpyaa watu waolewa kimya kimyaa... Chezea ndoa za usiku wewee
 
Back
Top Bottom