Usaliti haufai

Usaliti haufai

foshizzle

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2013
Posts
374
Reaction score
151
Nelson mandela aliweza kuwasamehe wote waliomfunga na kumtesa nusu kufa lakini alishindwa kumsamehe aliye msaliti.
Mapenzi yana nguvu yake. Ndo maana risasi zinahusika sana. So acha kumsaliti mpenzi wako ili uishi maisha marefu yenye furaha.
 
Unajidanganya weye, cheating haipo mbinguni....
hapo hapo ulipo cheat as much as you can ila usisahau ukimwi upo!!!!!
 
Alimsamehe lakin winnie aliendelea kugegedwa nje,we ungeendelea kusamehee tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom