Namfundishaje kupenda?

Namfundishaje kupenda?

Nyamgluu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
3,160
Reaction score
1,727
Wadau wa MMU,
naombeni tu nije hapa nitoe ya moyoni kidogo na pia kusikia maoni yenu. Kwa kilichonitokea siwezi ongea na ndugu wala rafiki sababu hawataamini na itakua aibu kwangu kiasi flani.
Sikuwahi kuwaza kuwa anaweza kunicheat ila nimemfumania live akiwa na mtu mwingine.
Baada ya kukaa na kuongea na huyo jamaa kwa mda wa zaidi ya lisaa tukagundua kuwa tuko wengi.
I swear nilifikiri naota, jamaa mwingine nae hadi machozi yakamtoka. Na huyu mme mwenza ni jirani yangu.
Huyu binti ni the most decent girl i have ever come across na kiiiila mtu naemwonyesha ananimabia huyu ndio mke!
Dah kumbe the girl is moving with other people!
Wadau acheni tu, words cannot express. Sasa katika kuongea nae ikabidi nimuulize ni kwanini anafanya hivyo? Maana tamaa ya hela hana hata kidogo na hata sex sio kwamba anaipa kipaumbele chochote.
Binti akaniambia haelewi ila tatizo lake kubwa ni hawezi kupenda na hajawahi kupenda. Mimi hili nililiona lakini nikafikiri with time atabadilika.
She is 23 and i am much older then her. Katika pita pita zangu humu MMU kuna sifa 2 za ambazo anazo watu huongelea sana kuwa ni za mwanamke asiyefaa lakini mimi nilikua napuuza nakuona hakuna ukweli ila sasa naamini asilimia 100.
1. binti ni kabila la hapo singida
2. binti hana baba anaishi na mama yake tu.

Sasa wazoefu naomba mniambie je naweza mfundisha huyu binti kupenda na namfundishaje? Maana ukweli nimechoka sasa na wanawake na inabidi nitafute wakuoa wazazi wangu waishi kwa utulivu miaka ya hii ya mwishoni.
Hata kama ndoa itanikondesha poa tu as long as mama yangu atapata faraja.
 
Huwezi kumfundisha mtu kupenda maana upendo unakuja automatically cha msingi kwakuwa amekuambia kuwa hawezi ktulia na mpezi mmoja basi chapa lapa kumbuka ukikosea hapa ndo utaharibu mwenendo mzima wa maisha yako,huyo achana naye atakuumiza sana baaaye
 
Wakati unampeleka hiyo shule ya mapenzi, nakushauri anza kutafuta mwanamke mwingine. Kisha mshukuru Mungu kwa kukufunulía maono ya uzinzi wake mapema.

BTW ulishagegeda mzigo? Una uhakika ulishamfikisha mlima Kibo? Anatoa ushirikiano? Ulimkuta bikira?

Mwanamke ukimpa bakora vizuri ikamuingia barabara mpk akakuita baba na kukuomba maji ya kunywa katikati ya kichapo, hata kama alikuwa hakupendi atajikuta analazimika tu kukupenda. Hana jinsi, atafanyaje sasa?
 
Huwezi mfundisha kupenda, ni sawa na kubadilisha historia ya maisha yake, hilo haliwezekani
 
Wewe unajua kupenda? Kama ndio, nani alikufundisha?

huyo atakuwa na matatizo ya kisaikolojia. umesema ameishi na mama yake tu. labda ungefafanua kilichotokea kwa baba ili tujaribu kupata chanzo cha tatizo.

uhusiano wa wazazi huweza kuwaharibu au kuwajenga watoto kisaikolojia. athari zake huonekana ukubwani.
 
"tamaa ya hela hana, na sex haipi kipaumbele..." sasa anachokitaka kwa dume tofauti ni nin? Kabla hujamfundisha lazima ujue anachoktafuta, umpatie kama unaweza ndio umpe somo. somo la kupenda linatolewa kwa kupenda.
 
Wakati unampeleka hiyo shule ya mapenzi, nakushauri anza kutafuta mwanamke mwingine. Kisha mshukuru Mungu kwa kukufunulía maono ya uzinzi wake mapema.

BTW ulishagegeda mzigo? Una uhakika ulishamfikisha mlima Kibo? Anatoa ushirikiano? Ulimkuta bikira?

Mwanamke ukimpa bakora vizuri ikamuingia barabara mpk akakuita baba na kukuomba maji ya kunywa katikati ya kichapo, hata kama alikuwa hakupendi atajikuta analazimika tu kukupenda. Hana jinsi, atafanyaje sasa?

:cheer2:
 
Asanteni sana wadau kwa response.
Daudi1 mda unakwenda nitaacha wangapi aisee? Ntaacha mpaka lini?
Aspirin mzigo najigongea kama kawaida mkuu. Na ukweli ufundi wote nimempa. By the way kwenye anga za mademu nimepitia sana. Nimebahatika kusafiri na kukaa nje ambapo niemkua na mahusiano mengi na mabinti wengi kuningangania. Sasa sijui Mungu ananilipiza maumivu niliyowasababishia hao viumbe wake wengine? Mkuu kichapo anapewa hatare mpaka tunakaribiaga kupoteza faham kabisa. Mkuu first time kulala nae ilikua kazi sana yani tulihangaishana mno na kitu ilikua inagoma. Ila cha kushangaza there was no blood. Nikaweka mashaka lakini nikasema niache kuwa na doubts ili mapenzi yaendelee na kushamiri.

Lilendi, baba ake alifariki miaka 6 iliyopita.

mapi nimekaa na binti kuongea nae analia tu na kusema hajui kwanini ana tatizo hilo la kutoweza kupenda. Na mimi uwezo ninao ila hajawahi niomba hela mpaka huwa namjia juu. Sasa na huyo mshkaji mwingine naye ananiambia hivyo hivyo. Kua binti haombi hela na wala sio mhitaji wa sex.
Kummuliza binti anasema mara ya kwanza huwa anahisi anampenda mwanaume lakini baada ya mda kidogo hio love inatoweka kwaio akitokea mtu mwingine anamkubali.
 
Achana nae. Kama mwanaume, unatakiwa uweze kumsoma mwanamke na kujua huyu atakufaa au hakufai? Ukishagundua hakufai we achana nae.. utajiingiza kwenye matatizo bure kijana!
 
Ni mwanamke mzuri mmmno. Huyu Mungu jamani sijui kwanini anamwacha shetani atawale hivi!!
 
Achana nae. Kama mwanaume, unatakiwa uweze kumsoma mwanamke na kujua huyu atakufaa au hakufai? Ukishagundua hakufai we achana nae.. utajiingiza kwenye matatizo bure kijana!

Shukrani TheChoji nafikiri nitaumia siku 2 tatu na yatapita. Huu nao ni upepo!
 
Asanteni sana wadau kwa response.
Daudi1 mda unakwenda nitaacha wangapi aisee? Ntaacha mpaka lini?
Aspirin mzigo najigongea kama kawaida mkuu. Na ukweli ufundi wote nimempa. By the way kwenye anga za mademu nimepitia sana. Nimebahatika kusafiri na kukaa nje ambapo niemkua na mahusiano mengi na mabinti wengi kuningangania. Sasa sijui Mungu ananilipiza maumivu niliyowasababishia hao viumbe wake wengine? Mkuu kichapo anapewa hatare mpaka tunakaribiaga kupoteza faham kabisa. Mkuu first time kulala nae ilikua kazi sana yani tulihangaishana mno na kitu ilikua inagoma. Ila cha kushangaza there was no blood. Nikaweka mashaka lakini nikasema niache kuwa na doubts ili mapenzi yaendelee na kushamiri.

Lilendi, baba ake alifariki miaka 6 iliyopita.

mapi nimekaa na binti kuongea nae analia tu na kusema hajui kwanini ana tatizo hilo la kutoweza kupenda. Na mimi uwezo ninao ila hajawahi niomba hela mpaka huwa namjia juu. Sasa na huyo mshkaji mwingine naye ananiambia hivyo hivyo. Kua binti haombi hela na wala sio mhitaji wa sex.
Kummuliza binti anasema mara ya kwanza huwa anahisi anampenda mwanaume lakini baada ya mda kidogo hio love inatoweka kwaio akitokea mtu mwingine anamkubali.

Sasa mkuu na ujanja wote huo kidem kinakucheat bado unahangaika nacho. Vipi ukikaoa afu kakakucheat na kakajitetea kwa sababu hiyohiyo?

Bora lawama kuliko fedheha. Ni afadhali uchitiwe na gelfrendi kuliko mke. Mke anauma mazee. Na kumwacha mke si kitu rahisi, hasa kama mtakuwa mmejaliwa watoto.
 
Baba yake alifariki au hamfahamu?. Inawezekana ni kwa sababu ya kukosa upendo wa baba yake kwahiyo anaona wanaume wote hawafai ndio maana hawezi kuwapenda.
 
Hana tamaa ya pesa,sasa akiwa anaigawa kama pipi ni sababu anataka kuonja kila mwiko? au hata kujua kua wewe ukijua itakuuma au uliwahi kumuliza jee wewe ungefanya hivyo angejisikiaje? au hajui kusema sitaki au hajui kua kuna maradhi?

mie naona kama anajua kua unampenda sana na huwezi kuchomoa hata kama umejua na kaona bora ajitoe fahamu kua hajui kupenda,ivi anataka kusema kawa kiti cha snema anae kuja anampisha au jamvi la wageni anaekuja anatandikiwa?
Mkuu naona kama hapo sipo,kama unataka mlezi wa wazazi kwa huyu sie atakaa saanagapi kuwalea wakati hakuji kupenda?
 
Mkuu umempamba sana huyo binti ila anakosa sifa moja muhimu sana "RESPECT", kwa kuwa anajielewa alivo akiwa na uwezo wa kukuheshimu na kukutunzia heshima yako kama mume/mchumba mnaweza kwenda mbali zaidi otherwise ni ngumu!
 
Nachapa lappa chapter closed!
Wont let a bitch ruin my life.
Asanteni MMU members!
 
Wakati unampeleka hiyo shule ya mapenzi, nakushauri anza kutafuta mwanamke mwingine. Kisha mshukuru Mungu kwa kukufunulía maono ya uzinzi wake mapema.

BTW ulishagegeda mzigo? Una uhakika ulishamfikisha mlima Kibo? Anatoa ushirikiano? Ulimkuta bikira?

Mwanamke ukimpa bakora vizuri ikamuingia barabara mpk akakuita baba na kukuomba maji ya kunywa katikati ya kichapo, hata kama alikuwa hakupendi atajikuta analazimika tu kukupenda. Hana jinsi, atafanyaje sasa?
This is Babu's personal experience cc: baby DEMBA huyu Babu Asprin ndie mpambe wake na yule Mzee anayekuzengea Kaizer, ebu ona tabia zao
 
Duh unang'ang'ania asiye kupenda na analala na wengine na bado kweli unamuonea huruma?

Mie nahisi huyi ni mjanja anajua afanyalo, hakuna cha nini wala nini wewe ndio haumjui kabisa na anakudanganya kama -----.

Ukitaka akupende au ajue kukupenda basi acha kuwasiliana nae na uone kama atakumiss, as sikuelewa vizuri ila nahisi hauishie nae.

Ila mjanja huyo, acha kumtafuta asechi roho yake ukiona hakumiss jua immetoka hiyo.

Pole kwa kuwa ----- lake kwa sasa, anaonekana anajua kudanganya na kakujua weye unalegea kwa maneno yake yote.
 
Back
Top Bottom