Habarini za usiku wapendwa,
kunatabia ambayo binafsi inanikera kwa baadhi ya wanaume sasa sijui inatokana na nini! Tabia yenyewe ni ya kutongoza tongoza ovyo kila mwanamke au msichana...
"Mambo mekumiss"
"Toka hapa. We huwa unanimiss ukiwa nashda na sex tu huna lolote"
"Me mb0na huwa nakumith mrembo wangu"
"Ctak we mu0ngo,.."
"Haya bwana me home hapa very bored nataka nije...
Ni tukio la ajabu limetokea kando kando ya ziwa Victoria baada ya binti kuchuchumaa ateke maji amwagilie vitunguu na nyanya samaki wa nchi 4 aina ya sato akaruka toka kwenye maji na kuingia sehemu...
habari wadau wana mmu!
leo nimepata ushauri kibao humu ambao niliufanyia kazi katika bandiko langu la jibu la jana "nipigie kesho,nimelala". Nilisema pia kuwa mimi sio mwaminifu sana,friend match...
Wapendwa Wanajf!Habari zenu.
Ni muda sasa yapata miaka mitatu nimekuwa na huyu mwanamke na tumekuwa nae vizuri tena nyakati zingine tunakuwa pamoja kama mume na mke japo nilikua sijampeleka kwetu...
Habari ya asubuhi/mchana/jioni wakuu.Bila kupoteza muda.
Ninaishi kwenye nyumba ya kupanga maeneo ya Tandale-popobawa.Sasa kama unavyojua nyumba zetu za uswahilini hazina dari jambo ambalo...
ndugu zangu lengo la mmu nibora liwe kujenga na siyo kumsaidia lucifer kuupoteza ulimwengu!! utakuta mtu anaomba ushauri mambo ya ngono hata siyamsingi na mwingine anajicfia kwa ayo,na mwingine...
tupo kwenye ndoa halali ya kanisani huu mwaka wa tano,
mimi na mke wangu wote ni wangu wote ni wafanyakazi na tumejaaliwa kupata watoto wawili ,tunaishi nyumba ya kupanga na kila mtu anagari yake...
habari zenu wadogo,wakubwa shikamooni polen kwa majukumu.hebu leo tuangalie hii mada.ni mbinu gani zinaweza kutumika kupanga jinsia ya mtoto????????????//yaani uamue mwenyewe kwamba nataka huyu...
Hii mada nimeitoa kwa blog nyingine siyo vibaya kushare na wadada wa JF ili kila mmoja ajitafakari!
.......kwanza nikupongeze kwa kuweka hii siku kuwa ya kubadilishana mawazo na...
Habari wana jf! Me am so exhausted na hizi mambo.. When i was a little gal i used to think that one day ntakuwa na boyfriend nicly one ambae hatuta make love mpaka anioe.. Kumbe i was wrong now...
IMfumo wa mapenzi kwa vipindi tofauti!
1970:-1989
Nimekubali ila usimwambie mtu.
1990:-1999
Nimekubali lakini namwogopa baba na mama watajua
2000:-2004
Nimekubali lakini sitaki kufanya mapenzi...
Wanajf habarin za asbh,mi nina tatizo la nguvu za kiume,nikipiga ile mara moja ni withn 3' tu. afu second round mzuka kuja inachukua mda,afu penis inakuwa weak sana.nisaidien maana nina mpnz sa...
Nimejadiliana na marafiki zangu wengi wa kike hasa wafanyakazi wenzangu katika swala hili la Majukumu wapatao Maboyfreind katika mahusiano. Nimekuwa disappointment kwa sababu wengi niliozungumza...
ngoja tu niseme kwa niaba ya wanaume wengine...najua wanaume wengi wameshapata hii kero..
huyo mwanamke anakuomba umtumie vocha ...mwanaume unajituma tena mara nyingine unaacha kazi uliyokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.