Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,ningependa kupata kampan ya kike kwa sababu nateseka sana na huu upweke.AWE CHINI YA MIAKA 24 OR EXACTLY.ANIPM
Siku hizi ni gusa unase....................... kweli umeshindwa hadi umwage yanayokusibu moyoni?
Winda demu umtakae, siku ukikutana naye msimamishe. Halafu mwambie 'mimi nakutaka', utasikia mimi? Sema ndiyo, then mwambie kwa vile tumekutana tu njiani, nipe namba/ au uwe umeiandika ktk kikaratasi, mpe!
Utarudi hapa kushuhudia utakavyokuwa unasumbuliwa! Kazi ni kwako.
Kama unavyomuona kaka PAUL KAGAME ndivyo nilivyo
Kuolozesha ndiyo kufanya nini?
Uliza jingine keyboard yangu haina mfupa imetelezaa nadhan umenipata maana sijaandika kihindi umenipata slim boy"i wil hit u" hhhhaa
Wabongo kwa kujitetea tu mnaweza,but kichwani maji tu!ona hata kiswahili chenu kukiandika shida.YOU CANNOT HIT ME EVER THEN
Effects of BRAIN WASH