Tabia inayonikera ya baadhi ya wanaume

minagirl

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
270
195
Habarini za usiku wapendwa,

kunatabia ambayo binafsi inanikera kwa baadhi ya wanaume sasa sijui inatokana na nini! Tabia yenyewe ni ya kutongoza tongoza ovyo kila mwanamke au msichana atakayekutana naye katika mazingira yake ya kila siku, yani awe mzuri au mbaya yeye ni kutongoza tu, awe kamvutia au hata hajamvutia yeye ni kutongoza tu, kamzid umri au mdogo kwake atatongoza tu!

Mfano mwanaume wa namna hii;
kama ni doctor- 90% ya wagonjwa wa kike watatongozwa

huwa nashindwa kuelewa hivi ni tabia au nini kinawasumbua? Au virusi! Mawazo yenu wakuu
 

CHIEF MP

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
1,563
1,500
ni kwel ata mim japo mwanaume cfurahii hyo tabia! mwisho wa cku ata neno kupenda lnapoteza uhalsia wke! 2badiliken
 

handsome 00

Member
Dec 16, 2013
97
95
Sifa ya toto la kiume linalofunction fresh kutongoza ni Kanuni unashanga kutoongoza? he we Wa wapi? Kwan UshatongoZwa ha Wangapi? ni PM nikupe dili
 

charger

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
2,321
1,225
Hata kwenye research the bigger the sample the more the accuracy.
 

concious mind

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
817
500
Ni kama mazoez vile. Pia i kama salamu. Ila kiukwel ni kutimiza wajib. Demu ukiwa nae close usipomtokea inakua kama unamuogopa au ni domozege
 

minagirl

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
270
195
Sifa ya toto la kiume linalofunction fresh kutongoza ni Kanuni unashanga kutoongoza? he we Wa wapi? Kwan UshatongoZwa ha Wangapi? ni PM nikupe dili

sio sifa bwana wakati mwingine jitu linaona hamuendani kabisa ila linatongoza tu!
 

iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,225
2,000
Wakati mwingine wanakuwa wanafanya utani au mzaha tu ili kumfanya mwanadada husika ajione analipa. Si unajua nyie wenzetu nasikia wiki ikipita bila kupata mwanaume wa kukusemesha mnaenda kwa waganga kusafisha nyota.
 

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,024
1,500
Ukitaka kujua mwanamme hamwendani mvulie, ikilegea sana ama kushindwa kupita jua hamwendani.

Lakini unasema mwanamme hamwendani huku kavaa? Ni utovu wa heshima kwa viungo vya uzazi.

sio sifa bwana wakati mwingine jitu linaona hamuendani kabisa ila linatongoza tu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom