Nisaidien

Nisaidien

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
90
Wanajf habarin za asbh,mi nina tatizo la nguvu za kiume,nikipiga ile mara moja ni withn 3' tu. afu second round mzuka kuja inachukua mda,afu penis inakuwa weak sana.nisaidien maana nina mpnz sa mpaka anatishia kusepa maana cmridhsh,nile chakula/dawa gan msaada tafadhari.
 
Kula llambo mara tatu kwa siku
 
Last edited by a moderator:
Wanajf habarin za asbh,mi nina tatizo la nguvu za kiume,nikipiga ile mara moja ni withn 3' tu. afu second round mzuka kuja inachukua mda,afu penis inakuwa weak sana.nisaidien maana nina mpnz sa mpaka anatishia kusepa maana cmridhsh,nile chakula/dawa gan msaada tafadhari.

tatizo lako linasababishwa na kitendo cha kujihusisha na ngono katika umri mdogo. subiri kidogo umri ukisogea tatizo litakwisha lenyewe...
 
Ni kipindi tu! Jitahidi uwe na confidence kuwa you can do it. Ukiwa na mawazo kuwa huwezi basi hutaweza kweli, yaani ukiwa unashughulika akili yako iweke pale tu, usiwaze kutokufanikiwa! Badilisha mikao, mikunjo na styles Ndio utapafomu. Huhitaji dawa asikudanganye mtu ni saikolojia tu, ukituliza kichwa lazima utainjoi. Weka maandali, Kula karanga ukijiaminisha kuwa kwa Kula karanga you will make it, kunywa na maji. You will never regret
 
Wanajf habarin za asbh,mi nina tatizo la nguvu za kiume,nikipiga ile mara moja ni withn 3' tu. afu second round mzuka kuja inachukua mda,afu penis inakuwa weak sana.nisaidien maana nina mpnz sa mpaka anatishia kusepa maana cmridhsh,nile chakula/dawa gan msaada tafadhari.

Kwanza unatakiwa ujue kuwa suala la kukutana kimwili linamahusiano na hisia kwa 100% hivyo kama hisia zako zana mushkeli hutaweza kulifanya vyema

Kwa huduma ya kwanza tumia maji ya kutosha kila siku
Tumia pilipili sana
Tumia ndizi mbivu kwa wingi kiasi
Fanya mazoezi

Kama unatabia ya kutazama filam za ngono acha
Kama unapiga punyeto acha

Kwa msaada zaidi waone wataalam wa sikolojia .....!!!!!!!!
 
nyeto mbaya jamani

Sijui hii kitu ina ukweli gani
Lakini kuna jamaa zangu wengi sana walikuwa ni mafundi wa hii makitu lakini hawakuwahi kupata tatizo hili

Nadhani hili tatizo linaletwa na chanzo zaidi ya kimoja
Nadhani namna ya kufikiri inahusika sana!!
 
Mdau km umenitouch vile,so litaisha kwl?
 
kula na kunywa (maji, na sio vilevi) vizur. Pumzsha mwili, fanya mazoez na wakat wa shughuli usiwaze Manchester kafungwa na nan wala usiwaze nan anakudai namaanisha weka mawazo yako kwenye unachokfanya
 
Huna tatizo kijana endelea kumla mara kwa mara kichupa kimejaa, komaa nae mwambie awe anakupa mara kwa mara au kila siku utaona unaanza kuchelewa taratibu. Tatizo lako wewe hata ukimshika mrembo kucha tu unasimamisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom