Parasite
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 613
- 580
habari zenu wadogo,wakubwa shikamooni polen kwa majukumu.hebu leo tuangalie hii mada.ni mbinu gani zinaweza kutumika kupanga jinsia ya mtoto????????????//yaani uamue mwenyewe kwamba nataka huyu lazima awe jinsia ya kiume au ya kike na iwe hivyo mchango wako ni msaada kwa jamii nzima sio mimi tu ninae uliza swali hivyo nikuomba kama unajua lolote kuhusiana na mada husika usisite kuchangia ombi wapendwa.