Mfumo wa Mapenzi

Mfumo wa Mapenzi

Dengue

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
2,050
Reaction score
1,470
IMfumo wa mapenzi kwa vipindi tofauti!

1970:-1989
Nimekubali ila usimwambie mtu.

1990:-1999
Nimekubali lakini namwogopa baba na mama watajua

2000:-2004
Nimekubali lakini sitaki kufanya mapenzi mpaka tuoane!

2005:-2009
Nataka lakini tutumie kondomu!

2010/2011:
Ni pesa yako tu longolongo staki!

2012/2013:
Nimekubali lakini haupo peke yako!

Je, ni mfumo gani ungependa utumike ili uingie kwenye katiba mpya? NAHITAJI MAONI YAKO!.

Maoni yako yatasaidia kuoondoa tatizo la watu kupigana risasi.
 
Na 2014 ni upi maana ndio tupo saivi
 
kuna katiba mpya ya mapenzi?
 
Back
Top Bottom