Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Alinipa sababu zote za kunifanya nimpende na nilimpenda kwa kwel tatizo likaanza baada ya kuingia kwenye mahusiano kumbe alikua na mwanamke mwingine aliempenda zaid baada ya kugundua hilo niliumia...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
niaje wadau jana majira ya jioni nimegegeda m'babez wa ukweli baada y kumaliza game ananiambia simwambie mtu...nikashangaa sana unajua huyu manzi itakua ananifikliaje me au alichanganyikiwa na...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
1. Kamasutra says : If you suck one nipple,the women herself offers the other one. And that was the origin of "buy one get one free"! 2.Did you ever notice: everything on a woman's upper body...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanza naomba niwatakie nyote heri ya mwaka mpya.. Tumshukuru sana MUNGU kwa kuuona mwaka huu Sasa jamani katika likizo hii ya mwisho wa mwaka sikwenda kokote, nilikuwa hapahapa Dar.. ila...
1 Reactions
69 Replies
6K Views
Kama mnavojua januari mambo na mahitaji huwa mengi sana. Sasa kuna jamaa nilimkopa hela akaahidi atanirudishia mapema lakini sasa Imepita miezi sita hajanirudishia na ananikwepa kila...
3 Reactions
63 Replies
5K Views
Kwa mtu mzima kama Zitto kuanza kueleza kwamba Mwenyekiti wake anamahusiano na wanawake wengine nje ya ndoa yake anakuwa ametumia busara kweli au ndio hasara ya maamuzi ya haraka. Hasa...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii ni kwa Mujibu wa Basket Mouth, Nigerian Comedian. WHITE GIRLS 1st Date : Coffee 2nd Date : Kiss 3rd Date : Sex BLACK GIRLS 1st Date : Fast Food 2nd Date: Hug 3rd date: Chinese Restaurant 4th...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Wadau, kheri ya Mwaka Mpya! Kuna dada mmoja wa Kimasai amekuwa akiniganda na kuonyesha ananipenda sana ingawa sijawahi kuwa karibu naye kwa kukaa pamoja na kusomana tabia. Sasa anataka tuoane...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
awe mtu mzima kuanzia 35+ awe ana interest za business awe anajitambua asiwe bwakubwaku awe ana uwezo wa kuzungumza hadharani,kuhutubia n.k. awe na uwezo wa kusafiri ndani na nje ya nchi awe...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Don’t start an argument with a girl because they all have 63022184 GB memories and will bring up something you did at 7:22PM on 04/12/2008
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Nachukua nafasi hii kumshukuru Mungu na wazazi kwani ni siku ambayo nilikuja Duniani miaka 25 iliyopita. Napenda kujipongeza na kuwashukuru wote walionitakia Siku hii kuu njema na Nawapenda wote...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
wana jm wa janvi hili hebu tupieni hapa kile kikubwa zaidi ambacho kilikukuta katika maisha yako na hutokisahau maishani mwako kwa upande wangu mimi nilikua nina miaka kiasi ya 17 hivi nilienda...
2 Reactions
75 Replies
15K Views
Habari zenu wapendwa hii nimei'copy sehemu nikaona si mbaya niki'share na nyinyi.Story yenyewe inaenda hivi; ''Can you come and Pick me Up?'' Hii ni sentensi yenye maana kubwa sana anapokutumia...
17 Reactions
112 Replies
12K Views
Bongo Voice: CHUMBANI ZAIDI...NJIA ZA KUISHI NA MPENZI MPENDA PESA "GOLD DIGGER"..SOMA HAPA KUJUA MAUJANJA...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
hi
mili wanayo lakini wanakonda kwa roho zao mbaya!!
0 Reactions
3 Replies
922 Views
^^ Ilikuwa desemba kama hii, tarehe sikumbuki kwa kweli! Ni miaka mingi sana imepita, tena sana. Nakumbuka nilikuwa maarufu kijijini kwetu! Kujulikana kwangu kulichangiwa na mengi, lakini kubwa...
5 Reactions
100 Replies
11K Views
Kengele ya kutoka darasani iligongwa, wanafunzi wa shule ya msingi wakaanza kutoka madarasani huku wakifukuzana wengine wakipiga kelele ilimradi shwangwe tu. Ilikuwa mara yangu ya kwanza...
2 Reactions
7 Replies
31K Views
Msaada wakuu... Shemeji/wifi yenu yenu ana wakati mgumu wakuu nisaidieni. Kama yupo mtu anafahamu binti aliyetayari kwa kazi ya nyumbani anisaidie. Mahali ni Morogoro Mshahara ni maelewano but...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Namtafuta mwl Christina Ngomuo aka Zaitun akiwa shule ya msingiTarangire.wasiliana nami kupitia 0769506719.
0 Reactions
2 Replies
804 Views
Back
Top Bottom