Waungwana hii habari nimeikuta katika gazeti la mwananchi, hebu tupitie.......
Tabia ya kutumia vitu vyenye kemikali bila ya ushauri wa kitaalamu imeendelea kujijenga miongoni mwa Watanzania...
Habarini wakuu.
Naombeni msaada katika hili.Nilikutana na mdada Mmoja hapa dar akanielezea kwamba aliolewa na akabahatika kuzaa mtoto Mmoja ila aliachana na mme wake kwa taraka ya ndoa...
HAPPY NEW YEAR!!
Heshima tele wapendwa!!
Come we stay ni system ambayo many partners like using it thinking that they can get the right partner to marry, but
at this time they try to observe...
Salam wanajamvi
Kwa mtazamo wng naona Kila siku zinavyokwenda ndivyo suala la mapenz linazid kuwa undefined,sasa basi,JF ladies hebu funguken,kiukweli mnapenda nn kutoka kwa gents labda inaweza...
Ni mtazamo wangu, hebu naomba maoni yenu wake kwa waume, just imagine ikatokea leo kufanya ngono kati ya mwanaume na mwanamke kukapigwa marufuku, wewe binafsi unafikiri nani kati ya mwanamke na...
Habari wadau,
natumai wote wazima wa afya na mmerejea katika mambo yenu ya awali baada ya kusherekea vyema sikukuu za mwisho wa mwaka na kuanza mwaka mpya..
Binafsi nimeamua kuanza mwaka kwa...
Mnakumbuka? (Maji Ya Baraka/Uzima. (Mke wangu Niamini Tu)
Wanawake sasa nataka kumlisha Mwenzenu kiapo kikali nione kama naye ana imani au analeta utani na Maji ya Baraka kama mulivyonishauri...
MAPENZI ni maisha ya kawaida ambayo wawili wanaotamkiana kupendana wanaishi. Kutamkiana kwa sababu si kila kitokacho kinywani kinaweza kuwa na maana ileile ya moyoni. Dhana nzima ya mapenzi...
Hii ni serious sana.
Nina Mke na mtoto mmoja, ndoa yenu inamiaka mitano sasa, katika swala la uaminifu katika ndoa sijawahi kumhisi mke wangu kutokuwa mwanaminifu, inawezekana ni kwa sababu...
Eti mtu akikupenda na wewe ukimpenda si MNAPENDANA?
Na akikuheshimu na wewe ukimheshimu si "MNAHESHIMIANA"?
Na kama akikusaidia na wewe ukimsaidia si MNASAIDIANA? Na
akikupiga na wewe ukampiga...
Habari wana bodi ya MMU.
Natumai mwaka mpya umewafika salama kwa wagonjwa mungu atawaafu.
Wacha niende katika mada husika.
Uvaaji wa nguo za ndani kwa wanaume (CHUPI) ni chanzo cha tatizo la...
Naweza kusema hvi kwa sababu dunia ya sasa imekumbwa na mabadiliko mengi ktk siasa, uchumi na jamii ambayo mengine ni chanya na mengine ni hasi.
Ktk mada: ktk mapenzi ya usione ajabu mwanaume...
Jana nikiwa natembea barabarani na demu wangu mitaa ya gomz, akapita mwanaume yupo kwenye gari lake kubwa aina ya v8 akasimamisha na kumsalimia demu wangu, hakuitikia, huku tunatembea na jamaa...
Habari yako,
Personally awali ya yote nawatakia heri ya mwaka mpya wana MMU wote. 2013 ulikuwa mwaka mzuri sana kwa sisi wana MMU, tulielimika, burudika na mambo mengi mazuri mengi. Kitu pekee...
napenda kuwapa ushauri wa kuweka ata picha. Nazani Picha ni moja ya kichocheo ya kuweza kupata mwenza mapema na kwa haraka. Sasa huwezi pata mwenza wakati hajakuona ata picha yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.