New member

New member

mbona unaonekana sio mgeni.
join date inaonesha uko jamvin tangu january 24. 2013
 
mmh hata sijui. kajiunga halafu amekaa mwaka mzima ndio ametuma post ya kwanza...
Binti Demba umenichekesha hadi kupaliwa !!! Vipi mwaka mzima ! hiyo inatafsiri nyingi ..... you made my night !
 
Tunaomba picha mgeni...haiwezekani ujiunge na kujichimbia mwaka mzima
 
haaaa hiyo statement uliambiwa na nani na katika mazingira gani? mbona?.............
Mkweli wanguEee wacha niendelee kuchekawee maanake wewe ndiyo uliyoanzisha amko la ucheshi.... na hapo ukachipuka kicheko cha ajabu !!!! Non-stop laughing.....
 
Mkweli wanguEee wacha niendelee kuchekawee maanake wewe ndiyo uliyoanzisha amko la ucheshi.... na hapo ukachipuka kicheko cha ajabu !!!! Non-stop laughing.....

haya bana we cheka tu uongeze siku za kuishi..
 
haya bana we cheka tu uongeze siku za kuishi..
Ndo nikasema umenichanganyia umri mpya !! Nakushukuru msaada wako mwema.... Hivyo Demba unanidai deni kubwa "I am commited to pay" hilojukumu lngu.
 
Back
Top Bottom