jibu la leo "nikome bye,naomba namba yangu uione ka kituo cha polisi"

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
8,224
2,000
habari wadau wana mmu!
leo nimepata ushauri kibao humu ambao niliufanyia kazi katika bandiko langu la jibu la jana "nipigie kesho,nimelala". Nilisema pia kuwa mimi sio mwaminifu sana,friend match huwa napiga pia sometimes.
Niliamua kuongea nae kujua mbivu na mbichi ili tukutane kimawazo yani kipi ni bora kwa mustakabali wetu na tufuate hilo for good.
Nilichogundua ni kwamba kumbe alihack akaunti yangu ya fb ya zamani ila sio zamani sana ni ya mwaka huu na kusoma msg zangu zote....na kuna msg moja nilikuwa nachati na rafiki yangu kuhusu mgegedo wa jana yake. Si unajua tena whatsapp!nimemsalimia akajibu,nikamwambia usiku mwema akaniuliza kama nina jipya!?kabla sijajibu zikaingia picha ya yale maongezi kisha ukafuata meseji kuwa hilo ndio jipya lake na hiyo niliyoweka kwenye heading. Mie nimejibu, okey fine fine basi.
Haya wadau nipeni ushauri kwani kiukweli nampenda mno yani sana ila ni umbali tu unazingua. Na makosa kweli ninayo sio siri,lakini nipo tayari kubadilika na najutia nilichofanya.
Tafadhalini nishaurini ni vipi naweza nusuru haya mahusiano!
Honestly,nampenda mno mno mno na hakuna kama yeye

nilitumiwa hizo picha za conversation yangu na rafiki yangu.....nimejaribu kuiedit na kuficha mambo flani hivi.
Hicho ndicho kisa......nampenda sana na ndio nishachemka tayari.
nyekundu ni mimi na njano ni jamaa yangu
 

Attachments

 • photo.php.jpg
  File size
  25.7 KB
  Views
  252
 • 1503332_1433409190222349_1179404482_n.jpg
  File size
  110.5 KB
  Views
  250

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,627
2,000
Tupia hata kadiagram basi mkuu!
Nakuwa mgumu sana kuelewa maneno matupu!
 

serio

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
7,199
2,000
Ushauri wanini sasa? Maji si yashamwagika? Mkome kweli,.. Tehe theeee..
 

carter

JF-Expert Member
Jan 23, 2009
3,666
2,000
Mjibu....muulize yeye ni nani? Fanya kama ni namba ngeni ime ku txt ...
 

tinna cute

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
4,633
0
Pole,, bembeleza tu hapo taratibu atakuelewa na pia umuonyeshe kama umebadilika.
 

iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,417
2,000
Hiyo ni fursa ndugu. Move on. Tatizo ni kwamba hata akikusamehe leo ameshajua wewe si mwaminifu. Na hata ubadilike vipi picha ya aliyoysona hstafutika maishani mwake kamwe. So there exist a day hata kama uko nae akalipiza ili kujiridhisha nafsi. Na huo ndo utskuwa mwanzo wa mkeo kugegedwa nje kwani akifanya once hataacha.

ni kama kula nyama ya mtu. Kama kweli unataka kubadilika. Nakushauri ubadilike kwanza then utafute mtu mwingine ukiwa umeshabadilika.
 

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
8,224
2,000
Hiyo ni fursa ndugu. Move on. Tatizo ni kwamba hata akikusamehe leo ameshajua wewe si mwaminifu. Na hata ubadilike vipi picha ya aliyoysona hstafutika maishani mwake kamwe. So there exist a day hata kama uko nae akalipiza ili kujiridhisha nafsi. Na huo ndo utskuwa mwanzo wa mkeo kugegedwa nje kwani akifanya once hataacha.

ni kama kula nyama ya mtu. Kama kweli unataka kubadilika. Nakushauri ubadilike kwanza then utafute mtu mwingine ukiwa umeshabadilika.

!
!
mh!na mtu mwingine?
nampenda sana na namuhitaji,sioni mwingine wa kunifaa kanitoa chuo nilikuwa sina maisha na leo ninayo alhamdulilahi nimwache?.....ngumu ngumu kumesa
 

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,942
2,000
dah! mapenzi ya facebook bana!

mnapendania inbox, mnagegedania inbox pia, pia mnaachania huko huko!

halafu nyuzi zako zimekaa kishigongogongo tu! vipande vipande from day to day!

haya kesho uje utuambie ahsante kwa ushauri, tumerudiana!!
 

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
8,224
2,000
dah! mapenzi ya facebook bana!

mnapendania inbox, mnagegedania inbox pia, pia mnaachania huko huko!

halafu nyuzi zako zimekaa kishigongogongo tu! vipande vipande from day to day!

haya kesho uje utuambie ahsante kwa ushauri, tumerudiana!!

!
!
ningeunganisha kama kungekuwa hakuna jipya,ila hii ya leo ni mpya kwangu. Geto nipo mie na mbwa wangu tu,no one to share this with na nikaona mmu itasaidia.....sijadanganya hata na sijawahi kuwa mkweli katika kuwaambia watu nini kinatokea katika maisha yangu ya mahusiano. Huwa namega nasepa na huwa nina ushauri kama wa mwanafa kuhuadu mademu na mahusiano lakinu leo limenikuta kwa nimpendae...nadhani nahitaji mbinu mpya,wazo jipya how can i get her back baasi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom