Habari za muda huu wungwana.. Kuna msichana ambae tuna urafiki wa karibu (sio wapenzi) ila kwa ukaribu wetu baadhi ya watu wanahisi tunagegedana. Ni msichana ambae anapenda kujirusha..it happened...
habari wanajamvi wa MMU naamini wazima na kheri ya mwaka mpya kwenu wote,back in days baada ya kumaliza kidato cha nne nilisafiri na kurudi nyumbani mbeya coz nilikuwa nasoma mbali na wazazi but...
Kuna rafiki yangu nimwite X ana mpenz wake nimwite Y, niliwaacha chuoni miaka 2 imepita, nilikuwa nafahamiana nao wote, sasa juzi akinitumia friend request kwa facebook, nikamkubalia, bas chart za...
habar wakuu.nipo mbeya natafuta hotel nzur na yenye hadhi huku mbeya.pia ningependa kujua mahal wanapochoma nyama nzuri ya mbuzi.samahan kwa kuwasumbua wanajf
nina mpenzi wangu anaitwa jasmini nipo nae chuo kimoja kasoro kozi zetu ndio tofauti.mimi nimepanga nje kidogo ya chuo yani naishi gheto na nikawaida yake yeye kuja kunitembelea anavyotaka pia...
Upendo haupo katika maneno, upendo huonekana kwa matendo, huonekana kwenye raha na huthibitika wakati wa shida, daima upendo una sura 2 japo wengi wetu twaijua moja, wakati wa raha, faraja...
Basi ilikuwa katikati ya mwezi wa kumi na mbili mwaka jana pale kijana nilipoamua kutembelea maeneo ya jangwani sea breeze nikiwa na wenzangu kama wawili .Wakati nikiendelea kupata starehe ghafla...
Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya bila kumvutia mwanamke yeyote.
Hapa kunanjia 15 utakazozitumia wewe...
Ukitaka kuwa na raha na Mumeo na mpenzi wako .Mwache mwanaume akupende kwanza sio wewe MWANAMKE Uwe ndio unapenda Sana .Hakuna raha ya mwanaume akuone malaika duniani .Relax upendwe Achana na...
Heri ya mwaka mpya wanajamvi! Ni mara ya kwanza najitokeza kwenu nikiwa na shida ya kutaka kujua hili: nilikuwa na mchumba/mpenzi 2liyeishi nae muda mrefu 2kiwa na malengo likiwemo la kuish...
MWANAMUME yeyote anapotaka kumtongoza mwanamke hulazimika kwanza kumwonesha japo kwa matendo kuwa anampenda, au kwamba amevutiwa naye, hata kama ni kimwili tu. Hatua hii ndiyo yenye changamoto...
BAADHI ya wanawake kutoka katika Wilaya za Kinondoni, Tanga, Makete na Siha, wamekiri kufanya ngono kinyume na maumbile.
Hayo yalielezwa na Mtafiti Mwanasayansi Irine Mremi kutoka Taasisi...
Jamii forum ilinifanye nipate kazi mpaka nikapata ada ya chuo na sasa naamini itanipa mke,baada ya upweke wa muda mrefu kutokana na kazi, napenda kusema nimefungua ukurasa mpya wa mapenz kwa aliye...
hivi mawazo yenu huwatuma wapi mnapovaa namna hii?
hivi mkiitwa mashoga mtakataa?.. hii ni mojawapo ya dalili piaaa!!!
wadau.. hivi vijana wanaovaa hivi huwa mnawachukuliaje?
hali hii si...
Wana mmu,
Ningependa kushare na nyinyi ishu hii ambayo kwa kiasi , Inaniumuza Kimawazo nina Girlfriend ambaye tumekubaliana Kuoana Mwanzoni mwa 2014, Sasa kitu kimoja ambacho hataki, Hataki...
Wadada wazima?
Hivi ni kweli mkishakuwa katika mahusiano mengi aka kukutana na madushelele tofauti inakuwa ngumu kutulia kwenye ndoa?
Nitafurahi sana wadada mkinipa ukweli kwenye hili, maana...
Nashukuru Mungu kuzaliwa tarehe hii na mwezi kama huu,najiona ni mtu mwenye bahati sana,namshukuru mama yangu mzazi kwakuvumilia nakunitunza kwa miezi 9 tumboni mwake nakunileta ulimwengu huu...
binafisi huwa nashangaa sana kuona mtu hasa wavulana wakijivika usharobaro na uongo mwingi ili waonekane kwao mambo safi mbele ya wasichana.
unakuta mvulana pengine yupo chuo,anang'ang'ania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.