hoja zisizojenga MMU nibora tuache jaman!

hoja zisizojenga MMU nibora tuache jaman!

theoka

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
374
Reaction score
100
ndugu zangu lengo la mmu nibora liwe kujenga na siyo kumsaidia lucifer kuupoteza ulimwengu!! utakuta mtu anaomba ushauri mambo ya ngono hata siyamsingi na mwingine anajicfia kwa ayo,na mwingine ana amasisha watu watongoze wake wa wengine nakusodomize
 
Ndo ujue jamii yetu ilipofika ndo hapa
 
ndugu zangu lengo la mmu nibora liwe kujenga na siyo kumsaidia lucifer kuupoteza ulimwengu!! utakuta mtu anaomba ushauri mambo ya ngono hata siyamsingi na mwingine anajicfia kwa ayo,na mwingine ana amasisha watu watongoze wake wa wengine nakusodomize

MKUU theoka NI KWELI UNACHOONGEA,,,SASA SUBIRI UFIKISHE MWEZI TANGU UJIUNGE JF,, UTASHUHUDIA ZAIDI YA HAYO...
 
Kwa kipindi cha karibuni vithread vimekuwa vingi kweli sijui kwa nini,vingi vimekaa kingonongono tu,..aaargghh
 
Jaribu kuomba access ya Jukwaa la Kikubwa, utakufa ze same day
 
Mambo ya JF msiyachukulie too serious aiseee wee Baki na tunza imani yako
 
Unachosema ni kweli ila sasa ndo hivyo wanadamu tunatofautiana kwa fikra, mawazo na matendo we unawashangaa hao wanapost hzo ngonoz staff na wao wanakushangaa wewe unae wakandia (siwatetei). cha msingi hapa ni kutoingia pale unapohisi hapakufai au patakukwaza we soma tittle endelea mbele waache wanaopenda kwasababu ndo wanachowaza kwa muda huo.
 
Yani wewe JF inakuumiza kichwa? Don't take it too serious changanya na zako.
 
hivi kweli mtu ambaye yupo against such things atajiweka na watu ambao wanafanya au kuongelea hivyo vitu? acheni unafiki. kama hupendi sii usiingie mmu...then we will truely know kuwa u against all thats bad with mmu
 
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom