Katika vitu nnavyopenda ni kuonana na waty mbali mbali na kubadilishana mawazo
nawaza kama kuna wadada/wamama wenzangu wababa/wakaka tunaweza kuweka umoja wa kufahamiana kwa wote waishio dodoma...
Nilimsomesha mpenzi wangu kwa lengo la kumwendeleza ili badae aje awe mke wangu, sikuamini alivyokuja kubadilika baada ya kumaliza chuo na kupata kazi na sasa hanitaki tena na mimi nampenda sana...
Kila siku nasoma post zinazowaongelea wadada wa mjini nashangaa vijana hawaongelewi. Alitokea kijana mmoja tunapanda wote gari tukitoka kazini (hatufanyi ofisi moja) aliniomba namba za simu...
Ili kumpima baby wako mwambie hv: "baby i love you.." atakujibu: "i love u too.."mwambie tena: "baby i miss you "atakujibu: "i miss you too" mwambie tena: "baby nakutumia 50000 kwenye m-pesa.."...
Habari zenu wakubwa!happy new iya!
Ni hivi mimi huwa navutiwa sana na mwanaume mrefu,mweusi,mpole hata katika urafk napenda marafk wa namna hiyo
vp nyie wenzangu em tiririken kdg...
Nachukua fulsa hii kujitokeza katika ukurasa huu kutafuta mchumba later aje kuwa mke.
me me ni mfupi,mweupe wa wastani,mwanafunzi,muislamu
sifa za bibi harusi huyo ziwe kama ifuatavyoo;
1)mwenye...
Shimbonyi pipoo!
Awkward kiswahili chake sahihi anaejua atafsiri zaidi..ila mie naelewa ni ile hali ya kama aibu ya either kujitakia au imetokea af unajishtukia fulani hivi..hukupenda itokee ila...
Chama Cha Wapiga Chabo Tanzania(CCWCT) kinawatangazia wapiga chabo na wapenzi wa chabo wote kwamba,kutakua na short course ya wiki mbili ya kupiga chabo.
Katika kozi hiyo mtapata fulsa ya...
Ni kwa nini mwanaume akienda bar akiwa mwenyewe wahudumu wa kike wanamchangamkia lakin akienda na mpenzi au mwanamke huwa wanajivuta na kutoa huduma bila kuwepo na uchangamfu.
"mwanaume kutaka kumjua niliyekuwa natoka nae kabla yake ni nini? sielewi mantiki yake, yeye sijamcheat lakini anataka kumfahamu wa kabla yake. simuelewi naomba kusaidiwa hili..."
Habari wakuru,siyo jukwaa langu hili
ila naombeni mnikaribishe tu kwa leo
kwa hili linalonisibu
Sikuwa na mpenzi kwa mda kidogo kutokana na kazi yangu
kuniweka busy mda mwingi
kiasi nakosa...
mimi ni kijana wa miaka 25 ni mwanachuo wa stella maris mtwara university mwaka wa pili natafuta rafiki wa kike ambaye nitakua nabadilishana nae mawazo katika changamoto mbalimbali za maisha...
Umewahi kucheza kombolela? unakumbuka tukio gani kwenye huu mchezo? mi nakumbuka nilikua maarufu sana kwenye huu mchezo, tulikua tunajificha kwenye matuta ya viazi kimyaaa kumbee niko na fatuma...
Nimekua nikiona na kusikia watu wakiwasema vibaya wapenzi wao wa zamani, na hata wakati mwingine kutoa hata siri za ndani ambazo hazipaswi kuelezwa kwa watu wengine.
Unaweza kuta labda ye ndio...
Nshachoka kuringishiwa miye,
Nimehudhuria pamvu za wenzangu miye,
Nimehudhuria Kitchen party za wenzangu miye,
Nmehudhuria Send off za wenzangu miye,
Nimehudhuria harusi za wenzangu miye...
Kitendo cha wanaume kukodolea sana wanawake hasa warembo ndo tatizo linalowaingiza wanaume wengi kwenye matatizo, leo nawapa siri yangu inayonifanya nisianguke kwenye tamaa za mara kwa mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.