Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huyu bwana alivuma sana hapa JF kwa kuwa wa kwanza kuchangia kila post inayowekwa ktk kila jukwaa. Lakini kwa wiki za karibuni hajaonekana kuchangia kabisa hapa JF. Jamani huyu member mwenzetu...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari zenu, Naombeni mnisaidie hii kitu siielewi vizuri. Hivi mtu mwenye jinsia ya kiume anapofanya mambo ya kike huwa mnamuitaje? Je kutambua mtu mwenye jinsia ya kiume anafanya mambo ya kike na...
7 Reactions
70 Replies
12K Views
Habari wana, Aisee katika pita pita zangu nikakutana na hii kali. Sio sir kama ni kweli huyo dingi inabidi akapimwe choo kabisaa. Hii ni kibokoo hahahahahahahahah.
3 Reactions
2 Replies
975 Views
Za asubuhi, Ombi langu mshaurini huyu baba kijana nimetoa ombi na msimtukane mshaurini kwa upole mkimaliza nampa link ajisomee mwenyewe. Huyu kaka kijijini huko alinipenda tokea nikiwa form one...
13 Reactions
433 Replies
26K Views
Wadada mnaoishi na waume. Unajisikiaje pale mumeo/mchumba wako anarudi home na kajitupa tu kitandani hadi asubuhi bila kukugusa wala nini na hali hii inaendelea hivi kwa wiki au miezi kadhaa ila...
3 Reactions
231 Replies
19K Views
Ni swala la ajabu sana ambalo pengine ukilifukiria unaeza ukasikitika. Ni kawaida sana wanaume kutuambiwa wana watoto hata watatu na wenyewe kuona kawaida sana bila hata kutushawishi kwamba...
13 Reactions
484 Replies
45K Views
Niliwahi kuishi Jirani na single mom mwenye mtoto wa miaka 3, nimwage sifa zote kwa huyu mama maana alikuwa ni pisi haswa, yupo kwenye 28, shape matata, urefu kiasi futi 5.6, Rangi mashalaah...
40 Reactions
65 Replies
4K Views
Habari wakuu, Ninaishi na mke wa ndoa na tuna watoto ila mke wangu sijui niseme ni uvivu au kukosa hamu ya tendo. Kila mara mimi ndio huhitaji kufanya tendo na mara nyingi hunipa kuniridhisha...
19 Reactions
108 Replies
12K Views
Mwana Jf soma hiyo Maumivu ya kuachwa kwa kawaida yanachukua miezi 11 au mwaka mzima.... Kama ukiendelea kuuumia basi utakua na matatizo ya akili muone daktari Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Wanawake 90% wapo kwa ajili ya kuharibu Maisha ya mwanaume ukiwatoa hao 10% ambao ndo Mama zetu basi hao 90% hawana nia njema na wewe. Usimuhurumie Mwanamke tofauti na Mama yako na watoto wako...
81 Reactions
192 Replies
8K Views
Laying this infrastructure was a crucial step. My first encounter with Demi Kupost picha yangu humu as if nipo Facebook... Kuwa crushed na kupewa rules and regs.. Mshana Jr na Uzi wake wa...
5 Reactions
13 Replies
760 Views
Habari wakuu , Kama kichwa cha mada hapo juu: wanaume wenzangu ambao mmeoa inakuwaje mkeo anakopa japo anafanya kazi ? Kwa nn usikompee wewe? Mwanamke ana kazi ila anakopa pesa ndogo ndogo kama...
21 Reactions
204 Replies
6K Views
Heshima kwenu wakuu. Utafiti umedhihirisha kwamba mwanaume akiwa na mpenzi mrembo, basi wanawake wengine humwona kuwa mzuri au ana mvuto zaidi. Utafiti ulifanyika katika awamu tatu; Kwanza...
8 Reactions
53 Replies
6K Views
Wakuu hua mnakabiliana vipi na sms kama hizi?? Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
42 Replies
4K Views
Uwe tayari kwa sex wamesahau.
10 Reactions
19 Replies
769 Views
MJALI MAMA KIJACHO WAKO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Hakikisha unauhakika Mimba ni yako. Usiwe mpumbavu. Kitendo cha kuhakikisha Mimba ni yako ndio kujali kwenyewe 2. Mpe Maneno matamu...
13 Reactions
94 Replies
3K Views
Ninaishi na mume wa mtu mwaka mmoja sasa na ananipa chochote ninachotaka na ananipenda sana na kunijali tatizo mimi natumia nguvu za giza kumpumbaza ili nimfaidi tu mpaka nitakapopata mchumba wa...
1 Reactions
109 Replies
18K Views
By Sangu J Waswahili wanasema ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Nimebahatika kusikiliza mahojiano ya Mabeste na aliyekuwa mke wake, Lissa. Ukiwasikiliza kuna baadhi ya vitu unagundua...
7 Reactions
42 Replies
7K Views
Ni story sensitive kidogo ambayo sikuwahi kuileta hapo wakati huo niko na majanga ya mtoto wa diwani nilipatwa na mikasa haswaa. Wengi mnajua kipi kilinikuta baada ya kumtia mimba mtoto wa...
11 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu Eti hili jambo la mke wa mtu kugawa number yake ya simu kwa mwanaume asiyemfahamu lina maana gani?
16 Reactions
52 Replies
3K Views
Back
Top Bottom