Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,323
- 40,998
Habari zenu,
Naombeni mnisaidie hii kitu siielewi vizuri. Hivi mtu mwenye jinsia ya kiume anapofanya mambo ya kike huwa mnamuitaje?
Je kutambua mtu mwenye jinsia ya kiume anafanya mambo ya kike na kuitwa jina maalum (....) ni hadi afanye mambo mingapi ya kike?
Je akifanya jambo moja tuu la kike kwa mara ya kwanza je huyu mtu utasema anatabia za kike au anajifunza (u....)?
Mfano mkaka anapofanyiwa manicure na pedicure baa na wale vijana wanaotembea na vikapu vya kupaka rangi kisha anakatwa kucha na kupakwa rangi ya colourless..... hapo mnasemaje? Imekaa sawa hii?
Je huo sio mwanzo wa kesho kwenda saluni kutinda nyusi na kuanza kupaka lips shine?
Hivi huo ni usharobaro au ndo style za mjini? Nisaidieni wanaume hizi tabia za wanaume kwa wavulana kufanya tabia za urembo wa kike ni sawa?
Au ndo atari za umagharibi? Kweli jamani.... mmmh mie naona haijawa sawa ila naombeni maelezo yenu.
Mlale unono na wote.
Kasie.