Wasalaam wana JF,
Habari imetolewa katika gazeti (JAMBO LEO) tarehe ya leo 7/Jan kuwa hawa mabinti wa kazi majumbani (house girls) wamekuwa mwiba katika ndoa nyingi hasa Dar.
Sijui mtafiti huyu...
Wakuu habarini,
Nina mwanamke wangu tupo nae chuo na ananilazimisha kutoka mimba.
Mara ya kwanza alitoa pia kwakulazimisha na sasa anataka tena kutoa mimba ivi kweli anamapenzi ya dhati au...
Huyu ni mwanaume nliyekutana na kufahamiana nae miaka miwili iliyopita. Tokea nimefahamiana nae na tukawa na mapenzi ya chini chini hajawahi kuniomba au kiniambia kuwa anahitaji "tufanye mapenzi"...
NAOMBA MSIJE KWENYE SHEREHE YA MIAKA 10 YA NDOA YANGU, NJOONI KWENYE MSIBA WANGU.
Baada ya kukaa kwenye ndoa takriban miaka 10 kasoro miezi miwili wakafanikiwa kupata watoto wawili wa kwanza...
Mimi nikionaga mtu hasa mwanaume anaenda kununua madada powa iwe wale wa 5K au wale wakujikuta matawi zaidi ya 100K naumia sana
SIKU UTAKAYOPATA AKILI NDO UTAGUNDUA KUA UKITOA Ngono HAKUNA JAMBO...
Habari zenyu wakuu?
Night kali narudi home nikapita chocho za mitaa flan kuna gest flan ndan ndani kipindi na isogelea nasikia miguno mbalimbali kufika karibu nakuta dilisha lipo waz na taa iko...
Wakuu
Kama mnakumbuka niliwahi kuleta Uzi unaohusu kuwa nilienda kuchumbia, binti akanikubali ila wazazi hawakukubaliana mahali so zoezi halikufanikiwa
Baada ya muda kidogo binti akawa...
Hellooow dears! [emoji113]
Mahusiano yanahusu hapa especially kwenye suala zima la kutaka kufurahishana/ kufikishana kunako
Kuna vitu fulani fulani kila mmoja anapenda sana kufanyiwa au...
Kupata mke kazi ndugu zanguni.
Nilipanga kumsogeza huyu binti niishi nae sababu ji msafi,anajua kupika ,anajua mapenzi na ni mzuri sana,huwa namuachia nyumba hajawahi kuniibia wala kudokoa hata...
Habari Wana JF
Katika mapambano ya kurudi uchumi wa kati Kwa spidi nilibahatika kuama mkoaa nakwenda kuanzisha maisha upya hii nipamoja na kuachana na totoz zotee nilizokua nazimiliki
Sababu...
Maana ya Ndoa
Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa.
Aina za ndoa kwa mujibu wa...
Wanaume wenzangu wa Kikristo moja kati ya zawadi na utam ambao hutakiwa kuukosa hadi unaondoka Dunia hii ni kupata mapenzi ya wanawake wa kiislam wale watu ni balaa lingine linapokuja swala la...
Nimekuja Tanga nilifanikiwa kupata room Hotel flani ya nyota 3. Nilipata pia Company ya binti mmoja tumekuja naye kwenye semina elekezi moja.
Shida nini sasa?
KWa huruma tu nlimshauri kuwa...
Soko la mahusiano au soko la mapenzi (sexual market) ni soko la kufikirika (virtual market) ambalo wanawake na wanaume huingia na kutoka wakitafuta kubadilishana mahitaji mbali mbali ya kihisia...
1. Kundi la Dada zetu (diaspora pori) wanapambana huko Arabuni.
2. Nilikua Dubai, Ile kuingia Tinder nakutana na mbongo ila nikajikausha kama sitoki Bongo.
3. Hela ngumu Sana aisee. Wacha...
WAKUU,
HUKU KITAA CHA TABATA_SANENE NIMEPATA MTOTO MZURI
MWENYE FIGA NA RANGI MARIDHAWA KABISA!!!
NA ANA 'MZIGO' MATATAAAAAA WA KUGEUZA SHINGO ZA WAKWARE HAPA MJINI!!!
NA KIMWONEKANO NI...
MWANAMUME yeyote anapotaka kumtongoza mwanamke hulazimika kwanza kumwonesha japo kwa matendo kuwa anampenda, au kwamba amevutiwa naye, hata kama ni kimwili tu.
Hatua hii ndiyo yenye changamoto...
Najiona mjinga sana tena nisiyefaa katika jamii,,,
Kama mnakumbuka kama mwez umepita hivi nilileta Uzi wa kumpenda rafik yangu yaan nilitokea kumpenda sana hasa tabia yake ilinivutia alikuwa...
Mara nyingi sana nasikia wanaume wakisema "Wanawake ndo wanawaendekeza/kuwalea mashoga"
Leo naomba nizungumzie hili jambo. Kwanza hao mashoga ni wanaume ila tu wameamua kujipendekeza upande wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.