Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

napenda wanawake wote ninao waona napenda nifanye mapenzi nao. Tatizo ni nini?
1 Reactions
58 Replies
4K Views
Kama maada inavyojieleza hapo juu, Nahisi wife anamegwa nje coz kuna mambo anayafanya humu ndani nahisi ipo hivyo. Picha linaanza imefika stage kawa na kiburi nikimwambia kitu anaweza kukujibu...
7 Reactions
194 Replies
32K Views
Haya ni maboresho ya uzi niliowahi kuuandika ila niliuandika nikiwa sijatulia na maneno mengi nilikosea kutype, uzi huu nimesahisha maneno na niomeongezea vya ziada. Mkasa huu nawaletea ulitokea...
20 Reactions
36 Replies
8K Views
Habari Kuna rafiki yangu amenifuata kunitaka ushauri juuu ya mke wake. Anasema hivi "Nimegundua mke wangu ana namba mbili anawasiliana nazo mara nyingi sana kuliko hata za wazazi wake namba hizo...
6 Reactions
78 Replies
12K Views
Kati ya hayo, moja wapo yaweza kua ni jibu sahihi au hata zaidi. Kwasasa mke wangu akiniudh chochote, pressure inapanda, na vidonda vya tumbo vuaamka. Stress anazonipatia hata kwenye utafutaji...
15 Reactions
53 Replies
2K Views
Tuna miaka 10 ya ndoa na watoto 3 sasa. Naijua vyema radha ya papuchi yake, navyosema naijua ni kwamba naijua kweli. Mwaka juzi nilihamishiwa mkoani kikazi nikamuacha Dar. Baada ya miezi 3 nirudi...
11 Reactions
93 Replies
10K Views
Wakuu Hili jambo huwa silielewi. Mimi kama mwanamke nimekuwa nikisoma makala mbalimbali zinazohusu sex huwa nasoma kupata idea mbalimbali ili nisiwe mshamba upande wa sex Basi bwana hili jambo la...
27 Reactions
378 Replies
16K Views
Kwa msiojua CTC ni kituo cha kuchukulia dawa za kudhibiti virusi vya HIV (UKIMWI). Anayechukua dawa hizo anaweza kuwa ni mtumiaji wa muda mrefu au yeyote yule anayejiona ameingia kwenye hali...
14 Reactions
19 Replies
2K Views
Aristotle Moja Kati Wana philosophy Bora waliowahi kuwepo Duniani nikifuatia Mimi hapa Labani og, Aristotle aliwahi kusema "Kama wanawake wasingekuwepo Duniani basi pesa zote zisingekuwa na...
13 Reactions
68 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu. Unajua katika life unaweza tongoza demu ukatumia hata miaka saba au minne. Yaani unaweza tongoza dem kuanzia la...
9 Reactions
109 Replies
39K Views
Loooh Mwanaume ana Gubu huyuu sijapata kuona yani. Hata ule miatano yake ni lazima aje kukufungulia nyuzi hapa ya kulia lia. Mwanamke anahitaji matunzo babuu, sio ukihonga unamtangaza mtu hebu...
15 Reactions
121 Replies
11K Views
Hamjambo wote! Vijana wadogo, huwezi ipuuza Past ya mwanamke unayetaka kwenda kumuoa kwa Sababu past ya Mwanamke ndio future ya Mahusiano yenu. Kupuuza past yake ni kupuuza future yako...
7 Reactions
15 Replies
994 Views
Sielewi nianzie wapi sielewi nimalizie wapi, kwakifupi kamwe usimwamini mwanamke (Mke au Mpenzi) usimwamini hata kwa %0.5. Ipo hivi, nimeishi na mke wangu miaka 3 sasa sijawahi kumtilia...
59 Reactions
356 Replies
16K Views
Hello wakuu, I realized that am total love myself mo than anyone and this makes me understand that love is priceless. What I learnt is Love and respect flukes together. Love and respect are...
6 Reactions
8 Replies
654 Views
Maisha yana mitihani na mikasa yake kila kukicha na leo imekuwa zamu ya Kijana Philemon ambaye mwaka 2019 aliamua kuondoka nyumbani Kigoma na kuja Dar es salaam kujitafutia maisha ambako siku moja...
23 Reactions
214 Replies
8K Views
Wakuu, Nisaidieni, kila nikiwa na sex na mke wangu anasema anaumia kisha tukimaliza tumbo anasema linamuuma. cc Mallerina SweetyCandy Nomadix Binti Sayuni03 @dr hayaland wenye uelewa wa tatizo...
8 Reactions
53 Replies
2K Views
Huu ni ukweli mchungu 1) WATAFUTE KWANZA KUSUDI LA MUNGU KATIKA MAISHA YAO Ni vema sana ndoa ikakukuta ukiwa tayari umeshaujua kusudi la MUNGU kwenye maisha yako maana itakusaidia kumpata...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari wakuu, mke wangu amekuwa na tabia ya kuchunguza sana simu yangu hasa usiku nikiwa nimelala. Sasa kafuma SMS za mchepuko, ni mara ya pili na mara hii mke anataka ili yaishe nimpe Tsh...
22 Reactions
102 Replies
10K Views
Wakuu poleni na majukumu.Kuna nyumba hapa nimehamia Nina mwezi mmoja saiv. Leo nimerudi jioni Nakuta mama mwenye nyumba yupo na mganga wechora huu mchoro hapo chini alafu wameweka mshumaa...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom