Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Juliana Shonza lazima uelewe hakuna Baba asiyeweza kutunza Mtoto wake. Huyo Baba hayupo. Kama wanawake wametelekezwa kwa Sababu zozote zile kama hizo ulizotaja...
20 Reactions
80 Replies
4K Views
Habari jamii forum Hapo mwanzo Mungu alimuumba Adam,huu ni sehemu wa mstari kutoka kitabu cha mwanzo ikionesha mwanaume ndiye kiumbe wa mwanzo na ndiye mwenye mamlaka ya kutawala ulimwengu...
18 Reactions
32 Replies
1K Views
Kama umetuma nauli Na mwanamke hajaja ghetto basi wewe ndio mwenye makosa Na sio mwanamke ambae hajaja ghetto. IPO namna ya kutuma nauli ambayo uki I apply mwanamke lazima aje ghetto. ( HAPA...
84 Reactions
270 Replies
25K Views
NINA RAFIKI YANGU WA KIKE NI MFANYAKAZI ANAOMBA USHAURI KATIKA HILI. ANA RAFIKI YAKE WA KIUME WANA UHUSIANO KWA MUDA WA MIAKA 9. SASA HIVI MWANAUME ANAMWOMBA AMUOE , ILA MWANAMKE AMEKATAA NA...
2 Reactions
224 Replies
30K Views
Hello guys! Kama unasoma ujumbe huu naomba nikushukuru kwa kupoteza muda wa kusoma nyuzi zingine na kujua ni kipi hasa ninahitaji unishauri. Nitaanzia mbali kidogo ili upate mtiririko mzuri wa...
84 Reactions
1K Replies
128K Views
Wakati unajifunza kutongoza unaweza danganya. Utadanganya kwa vile vitu vinavyokufanya uonekane una thamani. Nyumba, pesa, gari au unajuana na watu wakubwa. Lakini haina maana ndo ukalie njia...
10 Reactions
145 Replies
9K Views
Wanaume wengi na vijana wengi wa humu hawana pesa ndefu wala michongo ya kueleweka kama wanawake ndo maana wanaume wa humu wamejaa makasiriko. Kila uzi wanawake, mara singo mom jamani tafuteni...
44 Reactions
365 Replies
11K Views
Tupo wapangaji wanne tunaoishi hapa. Hatuishi na mwenye nyumba tuko wapangaji tuu wenyewe. Mwenye nyumba yeye anaishi mkoa mwingine. Sasa kuna mpangaji ambaye tulimteua awe in charge wa kukusanya...
23 Reactions
71 Replies
5K Views
Miaka ya nyuma iliyopita babu alinisimua kisa hiki, kuna kijana mmoja alikua ameoa na akawa anaishi na mkwewe pamoja ila kila siku zinavyozidi kwenda mkewe alibadilika kitabia yule kijana ikabidi...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Habarini wana JF. Naomba msaada je, ni hatua gani za kufuata ili kuongeza mke(kuoa mke wa pili)? Hapa nazungumzia wale wasio waislam. Karibuni.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kutoka kwa Rafiki yangu! Juzi alinifuata masikani kuniomba ushauri kwamba ametokea kuvutiwa kimapenzi na boss wake wa kike anapofanyia kazi lakini anaogopa kumwambia ukweli wa hisia zake kwa...
8 Reactions
42 Replies
3K Views
Umoja wa nchi za kiafrika uingilie kati huu ugonjwa mpya wa ubahili unaosambaa Kwa wanaume wa kiafrika duniani kote walipo
17 Reactions
112 Replies
3K Views
Kwanza wengine hata hatupendi Shanga zenu kwani huwa zinatupigia Kelele na hatusikii Mlio wa Mkuyenge ukiwa unachanja Mbuga Mbunyeni hali ambayo inaleta raha na kuongeza mzuka wa Mbanduano (...
12 Reactions
56 Replies
3K Views
Utavisikia ukitaka uende sawa na mubaba wako mfanyie hiki au mfanyie kile
4 Reactions
22 Replies
881 Views
Janga la wazazi kutamka matamko ya laana linashika kasi sana na hasa kwa hawa wazazi wenye umaskini ukifuatilia utakuta malalamiko mengi yenye viashiria vya kutoa laana kwa watoto zao. Changamoto...
6 Reactions
4 Replies
620 Views
RAFIKI yangu, sitamtaja jina ambaye wote tunasoma chuo kimoja hapa Shanghai anapenda sana wasichana wa kichina. Rafiki yangu huyu Mmalawi, anasomea shahada ya kwanza ya lugha ya kichina na hivyo...
12 Reactions
105 Replies
18K Views
Ni kabla sijaenda sumbawanga na baada ya kurudi kabla sijaenda kusoma elimu ya juu. Nilikiwa mpole sana,mtulivu kupita kiasi,msiri na mtiifu sana Kaka yangu alikuwa na mchepuko wake mmoja,ambae...
9 Reactions
12 Replies
2K Views
Maisha yana mitihani na mikasa yake kila kukicha na leo imekuwa zamu ya Kijana Philemon ambaye mwaka 2019 aliamua kuondoka nyumbani Kigoma na kuja Dar es salaam kujitafutia maisha ambako siku moja...
2 Reactions
8 Replies
551 Views
Kama unataka drama za ajabu ajabu na mitafaruko isiyoweza kuepukika basi date mwanaume ambae hanywi kilevi chochote au havuti. Utaona dunia chungu. Wanajikutaga wajuaji alaf wengi wao ni...
19 Reactions
84 Replies
3K Views
Awe na mwili umejengeka kiasi, awe na kakitambi kidogo. Asiwe amekonda kwa kweli mimi wanaume vimbaumbau wakae mbali kabisa nami. Mwanaume awe anajiamini. Mpole lakini pia mkorofi akichokozwa na...
34 Reactions
278 Replies
17K Views
Back
Top Bottom