Maumivu ya kuachwa

Maumivu ya kuachwa

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,442
Reaction score
8,695
Mwana Jf soma hiyo

Maumivu ya kuachwa kwa kawaida yanachukua miezi 11 au mwaka mzima....


Kama ukiendelea kuuumia basi utakua na matatizo ya akili muone daktari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naisbiri kwa hamu bahati hiyo zaidi ya mkuu anavyoisubiri ndege uwanjani.

Naisubiri kwa hamu bahati hiyo zaidi ya bahati inavyosubiri kubahatishwa.

Naisubiri kwa hamu bahati hiyo zaidi kubahatishwa kunavyoisubiri bahati.

Naomba njia za kuipata bahati hiyo......
Yani ungepata bahat ukanijua hakika utajiuliza mara 100 ni Demiss au G.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naona unakuja kwa vina
Naisbiri kwa hamu bahati hiyo zaidi ya mkuu anavyoisubiri ndege uwanjani.

Naisubiri kwa hamu bahati hiyo zaidi ya bahati inavyosubiri kubahatishwa.

Naisubiri kwa hamu bahati hiyo zaidi kubahatishwa kunavyoisubiri bahati.

Naomba njia za kuipata bahati hiyo......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ndo tatizo lenu makurumbembe,mashangingi,magubegube hamdanganywi aisee.

Gujikakamue weeeeeee hakuna jambo jipya kwenu jamani kwa nini?

Yaani loh
 
Miezi yote hiyo kwa sababu ipi?? Yan ukishakubali kua umeachwa umeshatibu tatizo
 
Back
Top Bottom