Yaani ndio nauanza mwaka hivi! kweli!!?

Yaani ndio nauanza mwaka hivi! kweli!!?

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,573
Reaction score
16,365
Wakuu hua mnakabiliana vipi na sms kama hizi??
Screenshot_20200121-091832_1579587653579_1579587720320.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ulimwaga ndani mwambie apige deki mkuu..

Kuna mshikaji alipata msg kama hyo kutoka kwa mademu Wa4 mshkaji si akakubali kuzilea mimba haikupita ata siku2 akawambia wakazitoe maana baada ya kuzikubali tu walimuandama kila mmoja akawa analia shida yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbukumbu zangu zinaniambia ndio muda embryo inaanza ku evolve so kama akipima anaweza kuona mimba au la.
Binafsi sijui masuala ya upimaji mimba so yawezekana sipo sahihi
Hata sasa hivi akipima anapata majibu.
 
Back
Top Bottom