Nategemea hamjambo kuna jambo limemkuta dada yangu mmoja hapa mji wa Dodoma. Si mnajua hapa Dodoma siku hizi kunalipa hasa kwa kina dadawanaojiuza kwa sababu ya mkutano wa wajumbe wa katiba...
Nahitaji mume mwenye mapenzi ya kweli
Mimi nimeajiriwa,
SIFA
Miaka 35-40,
Awe muislam mwenye maadili ya dini,
Amejiriwa au mwenye shughuli ya kueleweka,
Aliyekuwa serious ani PM
mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 25 natafuta mchumba wa kuoa.
SIFA
1.awe mkristo.
2.awe na umri usiozidi miaka 23.
3.awe tayali kupima vvu.
4.awe tayali kuvumilia kwa muda wa mwaka...
Mimi ni msichana natafuta mchumba aliye na uhakika wa kunioa, sipendi uongo awe mpole mwelevu, mkristo na anipende kwa dhat, ninamiaka 23, mwenye hakika na hili anitafute0786730005
Habari kaka,natumai mwenye sifa tajwa hapo juu ndo unayesoma hapa' mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 30,nipo serious na natafuta
mwanaume mwenye sifa hizo kwa kuwa mwenyewe nina sifa za...
Wakuu habari ya leo na poleni na majukum ya kila siku, mimi mwenzenu yamenikuta makubwa kama ifuatavo:
Mwezi wa kumi mwaka jana nilikua kigali kwa matembezi na nilifikia hotel iitwayo Serena hotel...
Mdada ambaye anaamini katika hizi falsafa:-
1: she can start from zero to hero (economically)
2: she can start from where she is. (in any life aspects)
3: She can learn from every action (...
Hey there!
Huu uzi nimeweka hapa kwa lengo la kumpata binti mrembo atakae kuwa ananifanyia "massage"...strictly massage and nothing more.
Kama wewe ni binti na una uzoefu wa kumkanda kanda...
Kumbe pamoja na kuitwa mfalme wa mbugani mnyama simba anaishi miaka kati ya 10 mpaka 14 tu. Lakini pia kitu kingine ambacho kimenishangaza ni kwamba kumbe Simba dume yeye ni aghalabu sana kuishi...
10 Differences between Love and Marriage
1. Love is holding hands in the street.
Marriage is holding arguments in the street.
2. Love is dinner for 2 in your favorite restaurant.
Marriage is a...
Now this is comical if not downright silly.
Hivi, yawezekanaje eti mtu ukawa na uhusiano wa kimapenzi na mtu ambaye hata humjui, naye hakujui?
Kama inawezekana, huo uhusiano tuuiteje? Phantom...
Wana jamii naombeni ushauri wa hili tatizo nililonalo.Niliwahi kua na mchumba wa umri mkubwa kwangu,tulikua tunapendana sana kiasi kwamba huyo mchumba akatoa nia ya kuja kujitambulisha...
Habari wana Jf,mimi ni msichana wa miaka 26,Nimeajiriwa nipo Arusha.Natafuta mume kuanzia miaka 29-32,awe na kazi au biashara ya kueleweka ,awe mrefu,awe mkristo.Aliye tayari nipigie kwa no...
Dunia pamoja na kukosa miisho isiyo na uwazi kuna mambo ambayo pia yanakosa uwazi kwa kuzungushana. Hiyo namba ya simu anayoikosa huyu mdada kutoka kwa mgosi wa kaya pamoja na kusifiwa uzuri ina...
Habari za jumapili wadau.
Naombeni msaada wenu jinsi ya kuongeza uwingi wa sperm, Yaani siku hizi natumika sanaa kiasi cha kwamba ujazo wa bao umepungua mno nahisi hata gal wangu ashaanza...
Na sasa nalisema tena. Msichana yeyote anayefikiria, ni jukumu la Boyfreind kumpa pesa anaitajika kuchekiwa akili kama yupo timamu ama laa. Je Boyfreind ni baba yako? Mume wako?
Tumieni akili...
Nimepanga na kuna wapangaji wenzangu katika mji.
Mpangaji mmoja aliingia zogo na mkewe.
Wakapigana hadi kuvuana nguo,mwanamke alisitiliwa na kitenge cha demu wangu ambacho mtoto wa watu...
Nowadays a lot of couples are moving in together before marriage. It's called ''Come We Stay''. Some people say that it is best way to know if you are compatible. That it is like test driving a...
Heshima zenu wakuu.Niko hapa kusema yakwamba nafuta kauli yangu yakusema Kwa herini wana MMU hamtaniona tena.
Nafuta kauli hii.
Baada ya kuondoka huku nikaelekea SIASANI na kwenye HABARI NA HOJA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.