mwahaja
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 391
- 105
Nimepanga na kuna wapangaji wenzangu katika mji.
Mpangaji mmoja aliingia zogo na mkewe.
Wakapigana hadi kuvuana nguo,mwanamke alisitiliwa na kitenge cha demu wangu ambacho mtoto wa watu aliniachia alipokuja.
Utata ni pale mwanamke huyu anapokataa kurudisha,na kilichukuliwa kwenye kamba kwani nilikuwa nimekifua.
Nilihamaki sana,then siku moja jioni akaja na kanga 1 kavaa hatari maumbile! akaniomba nimtumie mwanae fedha kwa M-pesa eti yeye hajui,nikamtumia,hakika alinijaribu.
Asubuhi baada ya mume wake kuondoka akanitext "mambo,umelala?" mara natamani nije! nikamruhusu,Kilichoendelea hakika NILIMGEGEDA VILIVYO,siku iliyofuata ndo balaa mpaka alipoteremka kitandani alitaka kuanguka.
Sasa NIMEAMUA KUACHA na kutubu kwa Mungu kile nilichotenda,lakini NATISHIWA sana na anataka niendelee KUMGEGEDA na mie nimekoma naogopa ku-UFOO SARO,kitenge hataki kunipa na maneno anayotoa ni ya hatari.Nifanye vipi?
Leo kaniambia NIMGEGEDE mara 3 ili anipe,na kasema nikimfanya vurugu yupo tayari mume wake ajue,msaada ushauri please,usitukane.