Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana JF, Nimekubali kwamba ukitaka kuacha uzinzi kapime hivi. Siku nimeenda kupima hiv nilikumbuka mapito yangu yote tangu utotoni, nilihisi nimepungua uzito wakati nasubiri...
1 Reactions
42 Replies
11K Views
Nilijua nimeopoa kimwana, guys at the game I found everything being fake, hah! There's this girl thing that artificially supports their hips.. Kavua nikamkuta kweupe...
0 Reactions
148 Replies
31K Views
Me najua thamani ya mwanamke na sipendi kupmotezea muda mtu ukweli naitaji marafiki ni dm nitashare nawe jambo zuri sana
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani nimekutana na mdada fulani nikampenda nikaanza kuzichomeka baada ya siku 2 akakubali sasa siku naenda kupiga shoo ile tupo room sijaanza hata kuvaa ndomu akaanza kupiga simu mara kwa Mama...
0 Reactions
93 Replies
12K Views
nina kama 25 years of age nilianza uhusiano na girl mmoja hivi mwaka 2011 me nikiwa first year yeye alikuwa anasoma certificate ya law mzumbe.ni mzuri kisura kiumbo ila tabia zake mwanzn hazikuwa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Uchunguzi huo nimeufanya ktk ndoa yangu nimejifunz kuwa mwanamke ana hisia tofautitofauti na nyingi mno kuliko mwanaume hisia amazo huja kwa haraka na kuondoka kwa haraka nyingine huchelewa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habar wanaJF usiku wa kuamkia leo niliota mpenzi wangu anafunga ndoa na mtu mwingine jambo ambalo lilinifanya kuweweseka wakati naota nakushituka nakujita natoa macho ya kulia. Kunaukweli gana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanawake wengi hapa mjini ukichati nae anakueleza mara yuko mwanza ,mara lindi mara tabora na kukuomba umtumie nauli aje dar. wote hao wako hapa hapa dar lengo ni kukamua hiyo elfu 40...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Watu wengi kanisa limegeuka kituo cha polisi! So kupitia uzi huu,naomba mtupiamo kile alichofundisha padre/katekista/mchungaji n.k. Usipost ukiwa ndani ya kanisa! Naamini katika yule...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Hili ni jambo la Kustaajabisha Kabisa baada Wawili hawa Kuamua Kutengeneza Keki inayo fanana Na Sura zao Siku ya Ndoa Yao. Keki hii imetumi zaidi Ya masaa 40 mpaka kukamilika Kutengenezwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu wana janvi, habari zenu. Mim ni Mtz ninaish Dar na ndoto yangu ni kumuoa msukuma au mnyantuzu ila kwa mazingira ya hapa mjini wamekuwa adimu sana kuwapata, mpaka nataman kuhamia Mikoa ya...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
kwa wale walio oa au wako kwenye ndoa na unaishi na mkeo una bed moja tu ndan kwako bt ikatokea umesafr umwemwacha mkeo nyumbani ukiwa safarini mamako mzazi anakutaarifu kua amepata safari yakuja...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Jamaa mmoja ambaye ni mkurugenzi wa kampuni moja kubwa ya mawasiliano alikaribishwa kutoa speech katika tamasha moja la vijana lililokuwa limeandaliwa kuhusu kujiepusha na vitendo vyenye kuweza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nilikuwa nasikia mapenzi yanaumiza sasa nimekutana nayo nimempenda binti sana hata yeye naamini mpaka sasa anafaham kwa sababu kwa uwezo Wangu nilio nao hakuna ambacho sijafanya hata pale ambapo...
0 Reactions
74 Replies
9K Views
1.Upendo 2.Umani 3.Furaha 4.Uvumilivu 5.Fadhila Haya ndio matunda ya kujenga familia bora
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwanza salamu ama baada ya salamu watu wa JF! Nina rafiki yangu ana matatizo na boyfriend wake, naombeni mnisaidie jmn nimshauri nini maana nabaki njia panda! Huyu dada ana mchumba ambae wapo...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Lile pendekezo la Mmeru mmoja aliependekeza wakati wa ukusanyaji wa maoni ya katiba kuwa wanawake wapewe haki ya kuchumbia na kuoa wanaume kwann imetupiliwa mbali wakati ni njia mojawapo ya...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Mswada wawaruhusu wanaume kuoa mbila kuwambia wake zao kimila
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Ndugu wadada natafuta mke wa kuoa kupiia katika mtandao huu aliye tayari tuwasiliane! NB. msinishambulie kwa llugha chafu hayo ni mawazo yangu usipopendezwa tafadhari endelea na kazi yako.
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom